Kwanza nimejifunza vitu vingi nilivyokuwa sivijui...na nibaada ya kukosa ushauri sahihi...nikaenda nikapata asara nikawa nimejifunza...
Ngoja nikudokezee..
Kama unaaza biashara au Kama unatembe mijini ukakuta watu wameanga viatu vizuri, achana na masokoni nasemea mitahani...
Hao watu awanunui...
Nyingine hii
Nilianza na mtaji wa elf 7.... Saivi nina nyumba 2 south African...na biashara zangu uchini..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kibaya zaidi unakuta mtu anakimbia Kama ivyo lkn anakunywa chai na andazi mbili...
Mm nilianzaga kufanya zoezi badae nikoana Nina lishe duni nikaachana nayo...
Nakuunga mkono..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sayansi imekuwa kubwa saana sikuizi....ndo maana nikajiuliza anawezekanaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jamvi naomba kusaidiwa namna nanivyoweza kufananisha tarehee yangu ya kuzaliwa na mtoto ninaetamani kumpta.
Kama nimezaliwa tarehee 1-1- Basi na mwanagu azaliwe same na baba au Mama..
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie Movie za KUTISHA
Sio mazombe lakini, movie fulni usiku maovyo ovyoo
Pia Movie Fulani ivi watu wanaeda somewhere kutafuta vitu vya thamani afu kinacho wakuta
Msiba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji41] nazitamani saana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.