Recent content by Boriti

  1. B

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Busara ya ZZK imeacha mkondo wake,aliemwambia atafukuzwa ni nani?Iwapo huna kosa woga wa nini?Taratibu za chama zipo zifuate hadi mwisho tu utafanikiwa.
  2. B

    Kifo cha CCM kimetimia

    Kila siku naona CDM wakipiga hatua tano mbele dhidi ya wapinzani wao.Inafurahisha sana sana ni muda wa kuomba kuchukua kadi maana huku tunakoishi kadi ni adimu mno.CDM wapo makini sana kiasi kwamba hata wapinzani wao wanatamani kuiga. Duh!nimewakubali kiroho safi mwanangu.
  3. B

    Kifo cha CCM kimetimia

    CDM sasa ni muda0 wa kutumia plan B tayari wameshaelema,mtego walioutega umegoma kufanya kazi, watasema kila kitu wakiamini Watanzania watawawaelewa,tujiulize tu hatakama ni kweli mtu kakubali kulipa nauli yake toka USA hadi Dudai wewe unaumia nini? Je akijitokmeza mke au mume na kuthibitisha...
  4. B

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Wakianza kusema mambo ya viongozi wenu na idadi ya nyumba zao msiseme wanavunja amani au kukiuka maadili. Haya endeleeni.
  5. B

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Sina uhakika kama maisha binafsi ya viongozi yakianza kujadiliwa kama kigezo cha uadilifu tutafikia tamati.Kabla ya kuutazama uadilifu wa mtu mwingine tuangalie uadilifu wetu na wa huyo mtoa hoja,je tupo wasafi kwa kiasi gani?
  6. B

    Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013

    Chadema niwape moyo bado kitambo kidogo tu mtafanikisha ukombozi wa Taifa hili.Jipangeni vizuri mtashinda.Suala moja muhimu wasaliti wenu wamejitambua na wameamua kuwa hawahami chama,wasikilizeni. Wapinzani wenu wameona hawatoki kwa hiari yao wanatengeneza sababu ili muwafukuze hili kamwe...
  7. B

    Wanakigoma: dr slaa asilazimishe kuhutubia kigoma.

    Kusikiliza mkutano wowote ni haki na uhuru wa mtanzania yeyote.Hakuna anayelazimishwa kwenda kumsikiliza huyo Dr.Slaa.Iwapo wanakigoma hatumtaki Dr.Slaa asikuhutubie unaendelea na shughuli zako nyingine za kujitafutia kipato.Hakuna sababu ya kuzusha ghasia kwa maamuzi ambayo yamefanyika.Kwa watu...
Back
Top Bottom