Recent content by Boreless

  1. B

    JamiiForums Tanzania Afisa Ustawi wa Jamii-Kata, Manispaa ya Dodoma

    Nina fursa nataka kumpa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Afisa Ustawi wa Jamii-Kata, Manispaa ya Dodoma

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Je, wewe ni Afisa Ustawi wa Jamii Kata ndani ya wilaya ya Dodoma? Njoo DM tuzungumze
  3. B

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    #NRNE
  4. B

    JamiiForums Tanzania T-Shirts: Gwajimarize Tzii or Gwajimarize Tanganyika

    Ni kweli wengi wamejitokeza kulaani utekeaji na mauaji lakini tamko la Gwajima kwa kiwango kikubwa limewapiga kwenye mshono kiasi cha Mkuu wa nchi kutoa kauli. Na kupitia kauli ya Mkuu wa nchi, ndiyo tunatengeneza kauli mbiu ya T-Shirt yetu ili kumuonyesha kwamba tamko la Gwajima ni kauli ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania T-Shirts: Gwajimarize Tzii or Gwajimarize Tanganyika

    Wakuu Salaam, Nchi yetu kwa hakika inapitia njia na kipindi cha mseleleko kuelekea kwenye giza totoro. Kwa kila raia ambaye bado ana nuru ya kung’amua yanayoendelea, shime afanye lililo ndani ya uwezo wake kukataa mseleleko huu wa kulekeza nchi gizani. Nakusudia kuchapicha T-shirts zenye nembo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma ni Utajirisho kwa Mawaziri?

    Yeyote aliye makini atakaposoma andiko langu, halafu akapitia maoni yako, haraka sana anang'amua kuwa tunaishi dunia mbili tofauti na vilevile uwezo wetu kifikra na katika kuanisha mambo unatofautiana mbali mno. Jaribu kusoma upya nilichoandika na jipe muda wa kutafakari kabla hujaandika maoni yako.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuhamia Dodoma ni Utajirisho kwa Mawaziri?

    Kwa dhati nampongeza Rais Dk. Magufuli kwa uamuzi wa Serikali yake kutimiza ndoto ya Taifa kuhamishia makao makuu Dodoma. Pamoja na pongezi hizi, kuna jambo moja nimeshtukia linakinzana na kaulimbiu na jitihada za Rais kupunguza matumizi ya taaasisi za umma hasa kwenye mambo kama posho za safari...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Top 10 Strategic Technology Trends for 2017

    Published: 14 October 2016 ID: G00317560 Analyst(s): David W. Cearley | Mike J. Walker | Brian Burke Order Reprints You may request paper or digital reprints on the ensuing order form. Summary Gartner's top 10 trends will drive the future of the intelligent digital mesh. Enterprise...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

    Sijapata email yoyote! Angalia na tuma upya
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

    Mbona waguna, umepatwa nini Jephta2003?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tuty wa Pwani Tuwasiliane.....!!

    Mpendwa Dada mwenye picha zifuatazo hapo chini, Nimeokotoa flash mobile yako ikiwa na vitu mbalimbali lakini vikiwa havionyeshi utambulisho wala njia yoyote ya mawasiliano. Nimetumia signature ya doc mojawapo ambayo imesainiwa kama "Tuty wa Pwani" kukutafuta. Usomapo au ufahamishwapo juu ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Afisa Mauzo na Meneja Masoko Mikoa Mbalimbali

    Ndiyo Mr Bean Jr Unakaribishwa!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Afisa Mauzo na Meneja Masoko Mikoa Mbalimbali

    Kampuni yetu inayojishughulisha na utengenezaji wa vinywaji vikali na wines inazo nafasi za kazi zilivyotajwa hapo juu katika mkoa wa Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Moshi na Shinyanga, Simiyu na Geita. Tunakaribisha maombi kutoka kwa watu wenye sifa zifuatazo: Ubunifu wa mikakati ya kutafuta...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rosemary spice plant

    Wasiliana na upegra at gmail.com
Back
Top Bottom