Jamaa anazingua kweli watu tulibadili maamuzi ya kutoa mahari baada ya kuona mambo hayaeleweki na mpaka leo maisha yanaendelea sema una utoto sana ebu subiria ukue kwanza
Pombe , dini za kitapeli shuhuda za uongo unafiki, uchawa music, umbea wa mitandaon na wanasanii vichwa maji
Ndo watanzania wanapenda yani mpira wizi, ndo maana kila siku vitu haviendi yani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.