Ndugu wana JF,
Kwa moyo uliojaa simanzi napenda kuwauliza viongozi wetu wastaafu (Maraisi, Mawaziri, Wabunge, Makatibu), JE, MUSTAKABALI WA TAIFA LETU BADO UNAWAHUSU?
Ni kweli kwamba uongozi wa AWAMU YA 5 unajitahidi kufanya mengi mazuri na yanayostahili pongezi. Hata hivyo, naona MISINGI YA...