Jiji la Mwanza litakuwa kama Singapore

Jiji la Mwanza litakuwa kama Singapore

Bonson

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
183
Reaction score
147
Ndugu wana JF,

Kwa mikakati aliyonayo Mkrugenzi wa Jiji la Mwanza, anasema baada ya muda mfupi litakua kama Singapore. Kazi inayoendelea sasa ni ujenzi wa barabara za mitaa mbalimbali, mfano barabara ya Isamilo - Mjimwema imejengwa kwa kiwango cha lami na kufungwa taa za barabarani za Solar.

Pia ofisi ya Mkurugenzi imetoa tamko la kupiga vita uchafuzi wa mazingira (attached). Yani ukitupa hata vocha iliyotumika, jiandae kulipa faini ya 50,000/=.
IMG-20171003-WA0040.jpg

Hapa Usafi Tu...!!
 
Sasa wapi kataja anataka kufanya mwanza iwe kama Singapore? Au unawashwa washwa wee mto Uzi??[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Singapore ndio mji/nchi safi duniani. Huruhusiwi hata kutema mate hovyo. wewe kama ni mla ugoro usiende Singapore na usije Mwanza! Labda uwe na 50,000/=
 
Nipo mwanza miaka mingi ni porojo tu za kutafuta sifa na mapato kama kiongozi wao mkuu alivyowatuma[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Ndugu wana JF,

Kwa mikakati aliyonayo Mkrugenzi wa Jiji la Mwanza, anasema baada ya muda mfupi litakua kama Singapore. Kazi inayoendelea sasa ni ujenzi wa barabara za mitaa mbalimbali, mfano barabara ya Isamilo - Mjimwema imejengwa kwa kiwango cha lami na kufungwa taa za barabarani za Solar.

Pia ofisi ya Mkurugenzi imetoa tamko la kupiga vita uchafuzi wa mazingira (attached). Yani ukitupa hata vocha iliyotumika, jiandae kulipa faini ya 50,000/=.
View attachment 601727
Hapa Usafi Tu...!!
Kwanini lisiwe lama mwanza sasa?
 
Singapore ndio mji/nchi safi duniani. Huruhusiwi hata kutema mate hovyo. wewe kama ni mla ugoro usiende Singapore na usije Mwanza! Labda uwe na 50,000/=
Singapore ni mbali sana,wewe nenda pale Moshi Mjini tema mate au angusha hata tunda ya ubuyu uone kitakachokutokea.
 
Ndugu wana JF,

Kwa mikakati aliyonayo Mkrugenzi wa Jiji la Mwanza, anasema baada ya muda mfupi litakua kama Singapore. Kazi inayoendelea sasa ni ujenzi wa barabara za mitaa mbalimbali, mfano barabara ya Isamilo - Mjimwema imejengwa kwa kiwango cha lami na kufungwa taa za barabarani za Solar.

Pia ofisi ya Mkurugenzi imetoa tamko la kupiga vita uchafuzi wa mazingira (attached). Yani ukitupa hata vocha iliyotumika, jiandae kulipa faini ya 50,000/=.
View attachment 601727
Hapa Usafi Tu...!!
Singapore kwa maana ya Singida? Kwa hiyo barabara kuwekewa lami ndiyo sawa na Singapore ya Mashariki ya Mbali? Taa za sola ziko mpaka vijijini tunakoishi, zimewekwa na REA!!!!
 
Kashindwa kutatua migogoro ya ardhi jiji la Mza, sembuse kulifanya kama majiji ya wenzetu. Nenda ofc za ardhi Mza utajuta, ardhi watakwambia nenda mipango miji na mazingira( kunamwanamama mswahili balaa) hapo utaambiwa nenda ofc ya ramani naye atakwambia nenda kwa mrasimishaji naye atakuridisha ardhi, mbona mwenyewe utarudi home.
 
Wewe unaonekana ni mmoja wa chama cha makinikia, Hivi Mkurugenzi, DC, RC na RAS ni akinanani MZA? Hao wote ni wakuja wako pale kusukuma mbele siku zao za kuishi hapa duniani wala si kwa maendeleo ya MZA.

MZA itajengwa na wana MZA wenyewe/ madiwani kama wakiamua kuwa wazalendo si hao wanaowaza kuchuma MZA kujenga Dar.
 
Singapore ndio mji/nchi safi duniani. Huruhusiwi hata kutema mate hovyo. wewe kama ni mla ugoro usiende Singapore na usije Mwanza! Labda uwe na 50,000/=
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jiji limeshakuwa kama gulio kila mahala chinga hata pa kupita hapaonekani sasa unaposema jiji litakuwa kama singapore unamaanisha nini? ukumbuke kitu chochote kikikaa mahala ambapo sii pake ni uchafu kwa hiyo basi kwa sasa mwanza ni chafu sana maana hakuna mpangilio wa biashara yaaani hakuna paking kakuna sehemu ya kupita kwa miguu hakuna pa kupaki daladala yaani ni kila mtu anavojisikia kutandaza biashara zake anajiwekea popote mimi kwa hili mzee magu kachemka
 
Back
Top Bottom