Recent content by BONSCULAR

  1. BONSCULAR

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Mbona laki sita ela hio ni kubwa ingekuwa 250 kushuka chini kidg ni kizunguzungu ila kuna watu wengi umewazidi kipato na wao wanamajukumu makubwa tu ya familia, wengine ni wanachuo na wanaishi kwa boom la mtu mmoja safi tu Sikushauri mkatoe mimba, wala umtelekeze. Tafuta side hustle, mm sioni...
  2. BONSCULAR

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

    Shida AI zime replace kazi zenu nyingi
  3. BONSCULAR

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Printer HP na Epson

    nagitaji printer moja ii ya epsod io ya pili bei gani nipo mbeya
  4. BONSCULAR

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei za Mahindi

    gunia 85000 na serikali 90000 kwa sumbawanga mjini
  5. BONSCULAR

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kuhusu kilimo cha maboga na soko lake shamba lipo songea je kuna faa kwa maboga?

    Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko
  6. BONSCULAR

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Kingamuzi kina zaingia mtandao toka nilipie xjawah ata kuangalia
  7. BONSCULAR

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Bora waanze upya kupunguza maneno
Back
Top Bottom