Kimsing, kama haupo VAT registered, hakutakiwa kukupa hata hiyo 18%...
Kwasababu bado haujaruhusiwa kisheria kupokea VAT, na wala huna jukumu la kuipeleka hyo 18% TRA.
Pia,Kama huyo mtu, amefanya biashara na mtu ambaye alimcharge VAT, bhasi risiti yako haitomfaa... maana haitoonyesha amount ya...