Recent content by Bonny Masih

  1. Bonny Masih

    Kikwete: Mafuriko ya Lowassa/UKAWA ni moto wa mabua!

    Kuna baadhi ya vijiji wanaamini lowasa anagombea kwa tiketi ya ccm kwahiyo akivaa gwanda kuna kura zitapotea za wazi kabisaaaaaaaaaa
  2. Bonny Masih

    Kwanini walimu hawazeeki mapema?

    Nakubaliana na wewe mkuu
  3. Bonny Masih

    Mwenye utaalamu wa majini ya pesa

    Kiongozi unahisi kubeti ni kazi rahisi sana nakuomba usijidanganye hakuna kitu kigumu kama kula milion nane kwa elfu moja au elfu tano nitafute nikupe kisa kilichonitokea khs hiyo beting ni hatari
  4. Bonny Masih

    Natafuta chumba self

    Maeneo ya Tegeta hadi Bunju kodi kwa mwezi iwe sh.elfu 70
  5. Bonny Masih

    Siku naziona kama zinajirudia, How can you explain this?

    Having familiarity of places and in actual sense you have not been their it is memory errors and they do occur due tova number of different reasons like emotional involvement in the situation, expectations, and environmental changes the retention interval between encoding and retrieval of the...
  6. Bonny Masih

    Nafasi Za Kazi Tena: Kilombero Sugar Ltd

    kwa maelezo zaidi tena upigiwe sio uweke maelezo yote pamoja na email watu watume cv mkuu
  7. Bonny Masih

    Kweli Mungu ni muweza wa yote?

    Hapana mkuu unakosea unaposema maana ya shetani ni upinzani.....iko hivi ushetani ni matendo i mean kiumbe chochote kikifanya matendo maovu ya kutisha tunasema ni ushetani ht binadamu anaweza kuwa shetani endapo atafanya hayo niliyokueleza.Na hakuna kiumbe mungu alichokiumba akakiita shetani...
  8. Bonny Masih

    Kweli Mungu ni muweza wa yote?

    Uthibitisho upo mkuu....Maana uthibitisho ni zile njia za kimantiki zilizotumika na zilizopitiwa kuleta huo ushahidi unaosema umewahi kuuona mkuu. Nani wa kuuleta kati ya hao wanaolumbana mimi na wewe hatujui ngoja tuone hadi mwisho...
  9. Bonny Masih

    Kabla ya kuzaliwa na baada ya kufa, sisi wanadamu tunakuwa wapi? (Education is power)

    Ndugu yangu hilo neno ni lakichawi sana linavyoonekana na si kwamba halina maana nimebahatika kuangalia movie yenyewe ni series inaitwa witch from east end hilo neno limetumia zaidi ya mara 30 pia merlin hilo neno lipo na baadhi ya vitabu vya hadith za kichawi siamin hilo neno kuna namna tofauti...
  10. Bonny Masih

    Mtoto mwenye miaka 3, mwenye uwezo wa kufanya hesabu za Sekondari na kuongea Kiingereza vizuri

    duuh majini makali sana yamkumba masikini huyu mtoto mpelekeni kwa gwajima akimuombea yataondoka hutoamini atarud kuongea kiruguru kama hana akili nzuri ni vijini tu hakuna kipaji apo uliza km hutosikia babu yake alikuwa na majini au bibi yake
  11. Bonny Masih

    Maajabu ya Kisiwa cha Bermuda

    ila hapo kwenye kufungua na kufunga kioo cha ndege badilisha script ikae poa mana haina uhalisia wowote mkuu.
  12. Bonny Masih

    Nyumba inauzwa Komakoma Kinondoni

    Ipo maeneo ya komakoma/kinondoni. nyumba ya pili kutoka barabara ya lami,ina hati miliki kabisa.kiwanja kinaukubwa wa urefu 15 upana ni 25. price 250 mil. +255714316116
  13. Bonny Masih

    Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?

    hapana dunia haijamizidi ukubwa mkuu,rudia kwenye biblia inasema mungu ni mkubwa na mkuu kushinda vyote alivyoviumba katika ulimwengu ndomana popote unapojificha anakuona na hawezi kukufuta..!!
  14. Bonny Masih

    Nauza Eneo Langu

    Lipo maeneo ya M/nyamala komakoma nyumba ya pili kutoka barabara ya lami (Mwijuma Road).Nyumba ina hati kabisa Upana ni 24 Urefu ni 15 +255714316116 kwa mawasiliano zaidi.
  15. Bonny Masih

    Chanzo cha Utofauti wa Lugha na Rangi za Watu

    kwenye rangi huenda ikawa changes of weather mkuu
Back
Top Bottom