Laface77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2008
- 2,117
- 2,845
Imani ndio inayotupatia makusudi ya maisha yetu or else haya maisha hayana maana kabisa kwani utazaliwa, utakuwa, utaenda shule, utaoa kisha utakufa. Sasa hapo kuna makusudi gani ya maisha? Hivyo ukitaka kupata kusudi la wewe kuwepo duniani lazima uamnini kuwa there is more to life than phyisical being, yaani maisha yetu wanadamu hayaishi pale tu tunapokufa. Ukiamini kuna maisha baada ya kifo, basi hapo unaamini uwepo wa Mungu na ukiamini uwepo wa Mungu basi kusudi la wewe kuwepo duniani linapatikana kwenye Biblia (Kwa sisi wakristo).