Recent content by Bonlove

  1. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

    Asante kwa Ushauri
  2. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

    Shukrani kiongoz
  3. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

    Habarini na poleni na majukumu, Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine). Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
  4. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada Fundi wa body{kunyoosha na kupiga rangi gari}

    Ok. Ahsante nipo Dar {temeke} Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada Fundi wa body{kunyoosha na kupiga rangi gari}

    Habari wadau Gari langu limepata ajari naombeni msaada wa fundi nzuri wa kunyoosha na kupiga rangi { awe na bei za wastani} Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Nahitaji program ya kufanyia partition

    Tafadhali mwenye prog ya kugawa hard disc anisaidie nina laptop yangu imekuja na window 8.1 na ina ant virus ila hhd ni 1tb bt haijafanyiwa partition sitaki kugonga copy ya window coz yakujia ni genuine.
  7. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kutambua washing machine bora

    Yap nimesha nunua kiongozi
  8. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tablet haraka sana, muda huu huu Arusha

    Nipo lushoto nina Tablet - tecno S9 used for 2 weeks Tsh.280, 000/=
  9. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kurecover data kwa kutumia AVG PC Tune UP

    naomba msaada unitumie hii prog ease us data recovery
  10. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki yamaha ag 200

    Yamaha DT 175 shilingi ngapi?
  11. Bonlove

    JamiiForums Tanzania INAUZWA...... New Samsung Galaxy Tab® 3 8.0 (Wi-Fi), White

    shilingi ngapi?
  12. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kutambua washing machine bora

    Naombeni msaada. Ninaitaji kununua washing Machine (Mashine ya kufulia) ila cna Ujuzi wa kutambua vigezo vya ubora. mwenye ushauri plse
  13. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Msaada / Ufahamu juu ya Tablet {Sumsung tablets}

    Nimekuelewa bt hii google map nimeshindwa kuelewa ni wapi (Samsung store ipo wapi?)
  14. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Msaada / Ufahamu juu ya Tablet {Sumsung tablets}

    Ahsante Chief ila nawezaje kutofautisha kati ya feki na origional? Plse
  15. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Msaada / Ufahamu juu ya Tablet {Sumsung tablets}

    Wanajamvi nataka kuingia ktk ulimwengu wa matumizi ya samsung tablet galaxy note 10.1 ila hizi tablets sizifahamu kwa undani ninaomba msaada wenu juu ya... 1. ni aina gani ya tablets nzuri(it means model/Vesion ? 2. Gharama zake zipoje? na ni wapi nitapata(dar sehemu gani?) 3. Iwe ina...
Back
Top Bottom