Nahitaji program ya kufanyia partition

Nahitaji program ya kufanyia partition

Bonlove

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
45
Reaction score
5
Tafadhali mwenye prog ya kugawa hard disc anisaidie nina laptop yangu imekuja na window 8.1 na ina ant virus ila hhd ni 1tb bt haijafanyiwa partition sitaki kugonga copy ya window coz yakujia ni genuine.
 
Tumia ya Windows yenyewe kwenye Disk Management.
 
yap wise decision usipoteze haki yako ya genuine kwa mambo ya kijinga.

kuhusu partition inabidi uwe makini sana sababu anytime unaweza kuformat au kuiondolea haki ya kuboot local disk c.

mimi hutumia mini tool partition wizard, ni ya bure na pia ni rahisi kutumia. sema kuwa makini usiformat, wala usibadili aina ya storage (ntfs, fat nk)

kama kwako ni ngumu tafuta mtu wa karibu mtaalam akufanyie
 
Back
Top Bottom