Nahitaji Tablet haraka sana, muda huu huu Arusha

Nahitaji Tablet haraka sana, muda huu huu Arusha

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Wadau, nimepoteza simu mbili za ghali mfululizo kwa kupanda kwenye bodaboda na simu kudondoka njiani baada ya mifuko ya suruali kuwa mifupi, nahitaji Tablet, najua sitaweza kuiweka mfukoni hivyo basi ntadumu nayo. Nahitaji haraka maana nimetoka kurenew line sasahivi.

Iwe ni Techno P9 au isiyozidi bei 350,000 - 400,000.
niPM namba yako kama uko nayo ya kuuza au unielekeze duka hapa Arusha.

Thanks.
 
niko na nokia ya tochi nitakuuzia sh 80,000
pale kwa benson inauzwa 40,000 = chagua moja
 
Wadau, nimepoteza simu mbili za ghali mfululizo kwa kupanda kwenye bodaboda na simu kudondoka njiani baada ya mifuko ya suruali kuwa mifupi, nahitaji Tablet, najua sitaweza kuiweka mfukoni hivyo basi ntadumu nayo. Nahitaji haraka maana nimetoka kurenew line sasahivi.

Iwe ni Techno P9 au isiyozidi bei 350,000 - 400,000.
niPM namba yako kama uko nayo ya kuuza au unielekeze duka hapa Arusha.

Thanks.

Km uko Arusha sawa ila kwa Dar watu ni wajanja kidogo huwezi kutumia tablet product ya Techno...
 
Nipo lushoto nina Tablet - tecno S9
used for 2 weeks Tsh.280, 000/=
 
ipo twinmos na Lenovo zote zinafeature ya Tablet+phone+music player inaenda kwa 370,000 location ni Dar es salaam,... Ni mpya kama una mtu yupo humu unaweza mwambie aje aichukue au tunaweza kuona inafikaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom