Recent content by Bonjourno

  1. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amchana chana Lissu Hadharani

    Hivi CCM ikiongozwa na Raisi wao...haoni matusi na kejeli walizompa Jaji WArioba?ama ni nyege zinawapanda punde tu aongeapo Tundu Lisu?
  2. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Tundu A. M. Lissu hapuuziki

    Wapuuzi hao.....wamezoea kukumbatia historia tu....na nyie katibiweni basi st.Thomas mzidi kumuenzi huyo mwasisi mnayemuona alikua YESU MNAZARETH
  3. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    Nafasi zite hizo anatafutiwa na CCM yake
  4. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    MMBWA tu huyo
  5. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Bungeni: Bunge la 10, Mkutano wa 15 Kikao cha 6

    Wametukatia umeme arusha huku jamani
  6. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Sio Adabu kuwatukana Nyerere na Karume

    Hivi jamani labda mimi nilisoma zamani!...matusi kama vile mmbwa,mse...,ku...,mku...siku hizi yamebadilika nini?nipeni update jamani
  7. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Huyo mkuu Wa chuo..jamani NI chuo gani hicho?maana mhhh hawa ndio wale wanaitwa dull..ukitoa kichekesho leo wao wanacheka kesho...yani ndio ubongo umetranslate
  8. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania CWT na Jukwaa la Walimu kuitisha maandamano kumpinga Lissu juu Mwl. Nyerere

    ------- hao ndio maana misahara hayo hairuhusu hata kununua nguo za kubadili.....Huyo wanayemtetea hawaoni kama aliwadhalilisha..kuwapa kazi ya kufundisha wakati wao walufeli
  9. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

    Nimeelewa sana....that's another issue...nilichojaribu kuchangia hapo ni suala kwamba haya hati hiyooooo...and that's all....nikasema suala hapa sio hati hiyoooo...issue ni uhalali wa hati hiyo...
  10. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

    Sasa wewe mshazari...nakusemasema kote huko hiyo hati wewe umeiona?na kama umeiona una uhakika na ualali wake?kwani hakuna Samsung galaxy note 3 ya mchina na inafanana copyright na original?kwanza kikawaida mahali penye documents nyeti za kusaign maandalizi huwa mpaka kalamu za kusign...
  11. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

    Yote ni heri
  12. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

    Suala sio hati bwana mdogo....suala ni uhalali wa hiyo hati!!!umemsikiliza msekwa alichoongea leo lakini?
  13. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Wapi Zitto Kabwe bunge la katiba?

    Hivi wadau mnapotezaje muda hapa eti kumjadili Zitto!!!who's Zitto by the way....CHADEMA is an institution....members may come...members may go but CHADEMA will still there...acheni upuuzi
  14. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

    Waheshimiwa..mchungaji aliye bora ni yule mwenye kukaa na wakosaji na kuwasafisha na kamwe sio yule anayetazama walio wasafi tu na kunyooshea vidole walio wachafu...mistakes have alredy done....na kama unafuatitia.upuuzi wote huo ulifanywa hata kabla ya uzao wa Tundu lisu...sasa he need support...
  15. Bonjourno

    JamiiForums Tanzania Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    Haha tatizo sio kuonyesha watu hati...issue hapa ni validity ya hiyo hati
Back
Top Bottom