Recent content by Bonitah

  1. Bonitah

    Experiences bado ni tatizo kubwa katika ajira kwa new graduates..Wadau tufanyaje???

    Tatizo kubwa wabongo tunachagua kazi, kuna kaka mmoja namfahamu alikuwa na degree yake, alitafuta kazi mpaka akachoka, then akaenda kuomba kazi ya ulinzi akapata, and now ni project manager na mshahara wake mzuri tu, hata mkifuatiria karibu makampuni mengi yenye security managers/assistants...
  2. Bonitah

    Serikali isiwaondoe Wamachinga Mijini; tujifunze kutoka majiji mengine!

    Hata Kuala Lumpur , Malaysia kuna sehemu inaitwa China Town, ni sehemu ya wamachinga!
  3. Bonitah

    Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Mwenzangu Maisha yenyewe haya mafupi.....! You are the best dear.
  4. Bonitah

    Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    You have made my day! Ha ha ha
  5. Bonitah

    Shukrani zangu za dhati kwa wana JF

    Pole sana KOKUTONA , mwenyezi Mungu akupe nguvu na ujasiri! and we love you more! Yote ni mapenzi ya Mungu!
  6. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Ok! Asante sana Mkuu
  7. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Nimejaribu kutafuta sijapata statistics zake kwa % kuna matokeo tu. Thanks
  8. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Thanks ntajaribu njia hiyo maana Necta sipati statistics ninazozitaka!
  9. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Nashukuru, ngoja nijaribu tena maana nilitafuta sikupata....! Thanks
  10. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza nikapata Statistics za matokeo ya mitihani ya secondary school O-Level kuanzia mwaka 2010 - 2013 anijuze, ili niweze kufanikisha research yangu ya shule. Mbarikiwe sana!:A S-heart-2::A S-heart-2:
  11. Bonitah

    Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    Pole sana Koku, Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki!
  12. Bonitah

    Suppose...

    Will you be my friend?
Back
Top Bottom