Nauliza kama bodi ya mikopo ya elimu ya vyuo vikuu imemaliza kutoa majina kwa wanufaika wa mikopo 2016 /2017, maana mpaka sasa hatuelewi na vigezo wanavyotumia kutoa hiyo mikopo ni vipi?
Naombeni mwenye taarifa yoyote kuhusiana na hili tujulishane maana tunateseka tulio na vigezo na tumekosa...
Mie nacho kiona kuhusu kuchagua PCB kuhusika na udactari ama coz nyingi za afya hapa Tz na kote Dunia ni PURE SCIENCE, coz alozoma PCB kasoma vitu ving kuhusian na science, but kigezo hakina Mantiki san kwa7bu phy haitumik kama wanavyoipa kipaumbe... niko pharmacy bd sijaon.....
Nimechaguliw awamu ya tatu na coz nloipata niliijaza mwisho na sikuwa na malengo nayo, naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kufanya transfer kwa muda huu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.