Karibu kwenye fursa crowdrising

freedolin

Member
Apr 21, 2015
52
95
Thanks NATOKA HAPA.
Hii si kama DEC, REFERAL AFRICA AU FOREVER LIVING ambayo itakubidi uuze bidhaa na ili upate kamishen umuunge mtu chini yako kwa maLAKI na unakabidhi pesa ofsini lakini shughuli kupata hiyo kamishen
Huu mfumo umeanzishwa Canada na lengo kuu ni kuisaidia Dunia kwa kuinuana kiuchumi kwa njia ya kuchangiana,SASA MNACHANGIANAJE?.....Ili uweze kujiunga na Fursa hii ya CROWDRISING Ni lazima ujiunge kwa kumchangia mwenzio kwa kupitia (tigo pesa,Mpesa,Bank za kawaida na njia za kifedha zingine) kiasi cha shs 20,000/= yule alokupa fursa ambaye atakuwa mwanachama wa CROWD RISING ili akusajili.fedha hiyo itakuwa ni yake moja kwa moja.
kisha wewe utashirikisha watu watano..na kila mmja atakupa shs 20000(za kwako hzo) jumla 100,000 HII NI STAGE YA KWANZA.Hao watano ...kila mmja atatafuta watu 5 na kuwa jumla 25 na wao watakuwa na shs 100,000 kila mtu.Utatakiwa kutoa shs 40,000/= kuingia STAGE 2 katika 100,000,,,hivyo 40,000*25=1,000,000/= kutoka kwa wajukuu.na hao 25 kila mmja ataunganisha watanondani ya timu yako na kuwa navitukuu 125 na hao watakuchangia 100,000 kila mmja ambayo ni sawa na 12,500,000/=.kuingia grade ya nne uthitaji kutoa shs 250,000/= kutoka kwa vitukuu vyako 625 na ukizidisha kwa shs 250,000/= itakuwa 156,250,000/= FEDHA NI ZAKO WEWE UTAKAZO ZIPATA KWA KUCHANGIA NA WENZAKO TU.Tambua CROWD RISING ina stage 1 hadi 15 utakuwa na mamilion mangap?.

HEBU TUACHE KUCHANGIANA VITU VINAVYO TAPANYA PESA,NJOO CROWD RISING TUCHANGIANE VITU VYA KUTUNYANYUA KIUCHUMI/KIFEDHA/ADA/UJENZI/MITAJI YA BIASHARA NA MAMBO MENGINE.0755314695 WHATSAPP YANGU kwa maelekezo zaidi.
RUBISH
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,887
2,000
Naunga mkono hoja...nenda kwa waziri na umpe huu ujumbe labda anaweza akapata altenative ya kuipatia serikali ela.
 
nsereko m

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,948
2,000
kwa hali ilivyo tete bado mnataka tena 20,000/= zetu kama ni deal kweli ndugu zako wangapi pamoja na wewe mmetajirishwa?
 
Scale

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,709
2,000
Thanks NATOKA HAPA.
Hii si kama DEC, REFERAL AFRICA AU FOREVER LIVING ambayo itakubidi uuze bidhaa na ili upate kamishen umuunge mtu chini yako kwa maLAKI na unakabidhi pesa ofsini lakini shughuli kupata hiyo kamishen
Huu mfumo umeanzishwa Canada na lengo kuu ni kuisaidia Dunia kwa kuinuana kiuchumi kwa njia ya kuchangiana,SASA MNACHANGIANAJE?.....Ili uweze kujiunga na Fursa hii ya CROWDRISING Ni lazima ujiunge kwa kumchangia mwenzio kwa kupitia (tigo pesa,Mpesa,Bank za kawaida na njia za kifedha zingine) kiasi cha shs 20,000/= yule alokupa fursa ambaye atakuwa mwanachama wa CROWD RISING ili akusajili.fedha hiyo itakuwa ni yake moja kwa moja.
kisha wewe utashirikisha watu watano..na kila mmja atakupa shs 20000(za kwako hzo) jumla 100,000 HII NI STAGE YA KWANZA.Hao watano ...kila mmja atatafuta watu 5 na kuwa jumla 25 na wao watakuwa na shs 100,000 kila mtu.Utatakiwa kutoa shs 40,000/= kuingia STAGE 2 katika 100,000,,,hivyo 40,000*25=1,000,000/= kutoka kwa wajukuu.na hao 25 kila mmja ataunganisha watanondani ya timu yako na kuwa navitukuu 125 na hao watakuchangia 100,000 kila mmja ambayo ni sawa na 12,500,000/=.kuingia grade ya nne uthitaji kutoa shs 250,000/= kutoka kwa vitukuu vyako 625 na ukizidisha kwa shs 250,000/= itakuwa 156,250,000/= FEDHA NI ZAKO WEWE UTAKAZO ZIPATA KWA KUCHANGIA NA WENZAKO TU.Tambua CROWD RISING ina stage 1 hadi 15 utakuwa na mamilion mangap?.

HEBU TUACHE KUCHANGIANA VITU VINAVYO TAPANYA PESA,NJOO CROWD RISING TUCHANGIANE VITU VYA KUTUNYANYUA KIUCHUMI/KIFEDHA/ADA/UJENZI/MITAJI YA BIASHARA NA MAMBO MENGINE.0755314695 WHATSAPP YANGU kwa maelekezo zaidi.
Utaozea Jela!!
Kila rakheli!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom