Bodi imeacha kutoa majina ya wanufaika kwa mwaka 2016 /2017

Jul 26, 2016
17
8
Nauliza kama bodi ya mikopo ya elimu ya vyuo vikuu imemaliza kutoa majina kwa wanufaika wa mikopo 2016 /2017, maana mpaka sasa hatuelewi na vigezo wanavyotumia kutoa hiyo mikopo ni vipi?
Naombeni mwenye taarifa yoyote kuhusiana na hili tujulishane maana tunateseka tulio na vigezo na tumekosa mikopo. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom