Recent content by Boniphace Bembele Ng'wita

  1. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Ubongo wa binadamu na utunzaji wa kumbukumbu

    Mkuu umeleta kitu kizuri ila humu ndani kunamtu aliwahi kueleza utofauti wa mind na brain akiuhusisha ubongo ! Na swal lilikuja kwenye matendo ya siku kwa siku, watu unaokutana nao na namna ubongo unavyo yachakata je kwa nini unaletq taarifa ya kusahau halafu haukwambii ulichosahau?
  2. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu hataki kuonywa akikosea, ananuna haongei na mtu hata siku 3

    Anamiaka mingap nataka kukupa ufumbuzi wa kudumu kwako na wengine humu
  3. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na madereva wamaliza mgomo

    Hii move ili kuwa like cumbersome yaan madreva nchi nzima wanapanga mgomo[maana si swala la siku1] mpka wanautekeleza , the all interagency resources zote ni kama zimepararaizi, haya tuseme walikuwa wanajua je waliangalia athari wakaona hazina mashiko? Na mamlaka zote mpka ziingizwe kazini? Au...
  4. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Lissu ataka hukumu ni au iwe MOTO au BARIDI, hataki hukumu VUGUVUGU, uhaini ni uhani tu, hakuna kosa dogo kwenye uhaini ni au KIFO au niachiwe huru

    Ukiachilia mapungufu yake TAL ni mwalim wa sheria tz nguli haswaaa.. na kukutana na naye mahakama ni kama umekutana na mzim hivi! Anaye mfuatia hapo ni kibatara na madereka wengine ni wakawaida tu waje kwenye kesi zetu hizi.. Isipokuwa nnamwoona anapwaya kuwa presidor kwa mambo mengi! Ila kuwa...
  5. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

    Nnachojua anamke na watt a i think 2.. ila nmempenda hataki kabisa watoto wake na mke wasocial .. kunasiku tu alimtambulisha mke wake na pia mtoto 1 anasoma mwanza.. ila pambano ni kubwa anapaswa alindwa kwa wivu mkubwa the mambaz ni 1 tu..
  6. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva wa Basi la SATCO alitishiwa na silaha bandia (Toyi), aliyetishia akamatwa

    Mbna inajulikana kuwa ni coverstory! Majichumvi ukifika pale mabibo kwa juu...
  7. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Kuna viongozi nawaona kabisa wanasema hii case ni aheri isingekuwepo.. pole kizimbani si mchezo.. unaweza kwenda mzima ukarudi mahututi. Achen masihara
  8. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Mkuu mahakamani si kwa shangazi wala mjomba.. unaweza kwenda uneniandaa hvi unakakutana na hiki.. zingatia anafanya close examination ni lisuu..
  9. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Septemba 10, 2026: IGP Wambura, DCI Kingai na CDF Mkunda waitwa kutoa ushahidi

    Tutasikia mengi sana kama Hao wa wakuu wa vyombo vya usalama wakaja kujibu! Nahisi sasa wanaingia kwnye mfumo ambao lisuu alikuwa anautafuta.. kunamtu atapata dharura tu .. au hata rudi siku ya pili kwenye examination. Ngoja tuendelee kula nyama tutazikuta chini
  10. Boniphace Bembele Ng'wita

    JamiiForums Tanzania Riwaya: See Me (Nione)

    Kwan mkuu ulifunga ukurasa au ulianza nyingine ili zote utaache na uraibu? Nahis ndo maana wengi hawasomi hizi kitu kwa sabb ya kuzikatisha
Back
Top Bottom