Recent content by boniface emmanuel

  1. boniface emmanuel

    Hakuna anayeweza kuizima nyota ya Zitto, ila Mungu pekee

    Mii binafisi chadema siielewi, nilitokea kuinamini sana, lakini kwa sasa itanichukua muda sana, na sidhan kama kura yangu ntaipeleka huko tena! Chama kinatakiwa kutufahamisha sisi wapiga kura je zitto anakosa gani hasa hadi kudharirishwa vile?
  2. boniface emmanuel

    Tanzanian - U.N. peacekeeper killed as Congo's army gains ground against rebels

    Watanzania kwa lawana ni nimoa, ww tunaomboleza unaanza issue za pesa za uswiz! Kila kitu na wakati wake bana, RIP ahamed, we loved you soo much!
  3. boniface emmanuel

    Dada zangu hebu wekeni magari yenu katika unadhifu....!

    Mleta maada umesema ujio wa mikopo ya mabenki ndooo imewawezesha wadada wengi kumiliki magari, kama ni hivyo uchafu unaokuwa kwenye hizo gari itakuwa ni stress za mikopo, mii napita tu!
  4. boniface emmanuel

    "ualimu ni kupoteza muda"

    Ualimu ni kazi kama kazi zingine tu serikalini, sema kwakuwa haina rushwa na wizi kama sector zingine,
  5. boniface emmanuel

    Spika Makinda: Zamani kabla sijawa Spika bunge lilikuwa halitazamwi kama sasa!

    Aibu, naalitaka kuanza kujieleza kule kaenda kufanya nini wakati alikuwa hajaulizwa, ni maajabu!
  6. boniface emmanuel

    Hii ndio Nyumba Mpya ya Kisasa ya Mbunge wa Chadema Mwenye Makelele Mengi Sana!!

    Kwa sugu kuwa na hiyo nyumba mii sioni kama issue, maana sugu ni mwanaharakati toka sisi tukiwa watoto(mimi) ndoo waazilishi wa bongo fleva kweli ashindwe kuwa na mjengo kama huo jamani, tuacheni majungu, tujadili issue za maana
  7. boniface emmanuel

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Habari zenu waungwana! Je kuna mtu alishawahi kufuga hawa nguruwe na akaona faida ya ufugaji huu, maana hata mimi nataka kuingia kwenye hii biashara,
Back
Top Bottom