Recent content by Bongosilo

  1. B

    JamiiForums Tanzania CCM kwa hili tunamkosea sana Rais Magufuli

    Mnaongea Mambo mengi Sana yasio kuwa na faida yeyote kwa nchi, ✓kwanza mkasome tabia za udikteta kwa undani ✓ukishamaliza kusoma uje apa utuambie tutumie njia gani kuzuia udikteta Tanzania ✓tusiwe walalamikaji wa mitandaoni bila matendo kwani tukiendelea ivi ipo siku vyama vya upinzani vitafutwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

    Umeambiwa taarifa za awali za mwenye account zilibadilishwa,, mean hata zile za kutoa alart zilibadilishwa, mfano namba za simu zilibadilishwa
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    __Wanachadema Kama mtapitisha kugopea urais naomba mnisaidie haya maswali ✓waliompiga risasi bado wako hai? Kama bado wako hai mko tayari kumlinda Lissu kwa gharama ya damu ✓Je siku akishuka pale Airport akadakwa na serikali kutokana na kesi zinazomuandama,mko tayari kumwaga damu yenu kumpigia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Ujasiri ndio huu Sasa, Angalia Hawa watoto wanachomfanyia mama yao mzazi aliye mgonjwa mahututi

    ✓umejuaje mpaka unajua kaburi lilikuwa bichi kabisa? ✓udhibitisho wa unachoengea uko wapi ✓maelezo uliotoa hapo yanadhibitisha ni wew ✓acha hiyo tabia, na uombe usamehewe kwa mlioyatenda juu ya kaburi bichi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa asili ya Tanzania

    Tajiri ni mtu yeyote Alie hai,, ila tumetofautiana kiutajiri, mtu anaweza kuwa tajiri kutokana na mahali halipo na watu wanaomzunguka kwa wakati huo,,
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nini hatma ya mtumishi wa Serikali ambaye amekopa benki Tsh. mil. 15 na akaamua kutoweka kazini?

    Tuelimishane kidogo ✓Kuna hela ya mtumishi wa umma anaktwa kwenye hifadhi za kijmii, mfano LAPF ✓Huyu mtumishi anapoenda kukopa Benki, Cha kwanza benki ataangalia kwenye LAPF yako umefikisha kiasi gani ✓Afu Benki watakukopesha kutokana na kiasi kilichopo kwenye LAPF ✓Endapo utatoroka na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa siri za Tausi kufugwa Ikulu

    Tausi ni ndege anaependa amani sana, hapendagi vurugu, so hapo ikulu Tausi anatuonyesha ishara ya amani
  8. B

    JamiiForums Tanzania Polisi kitengo cha Makosa ya Mtandao hakifanyi kazi kwa jinsi ilivyotarajiwa!

    Kutokana na mshahara unaolipwa kazini kutotosha, itakusukumu utafute njia mbadala ya kujiongezea kipato,,,
  9. B

    JamiiForums Tanzania Unalionaje suala la jamii kutaka mtu aishi wanavyotaka wao?

    Maisha ni kusengenyana, kumsema mtu, na wew kusemwa na watu, ila mradi usimuumize wala kumjeruhi mtu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

    Tayiri akifisha angalau umri wa miaka 7,, kutairi/kukata ngozi ya juu ya uume ni mojawapo inayozuia ukuaji wa uume,, so uume kuwa mfupi,, ndo maana wengi wa wamasai na wakurya hawana uume fupi,, be careful na mtoto,,
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali inapoteza kodi kwa wafanyabiashara wanaofanya huduma ya delivery

    Hauko sahihi kwa sabbu kabla kitu hakijatoka kiwandani au bandarini tayari imeshalipiwa kodi, direct tax,,
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

    Kazi ni kazi, ila mradi haujaua wala kujeruhi, kila mtu ana kazi yake hapa mjini
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

    Kigogo 2014, hana urafiki na mtu =Rais wa Sasa anamuita meko au jiwe =Wafuasi wa rais anawaita Mataga =Mbowe anamuita Mwamba =Hana dini =Haijulikani kama ni mwanaume au mwanamke =Anaijua serikali na taarifa nyeti za serikali =Anakujua wew mwenyew hapo ulipo, ukimzingua tu anakulipua =Anatumia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na balaa la FFU? Tupeane mawili matatu

    Umenikumbusha pale mtwara (mnarani),, jamaa walikuwa wanatumia fimbo afu wamakonde walikuwa wanatumia mawe,, mechi ilipigwa karibia nusu saa, majaa wakakimbia wakaacha gari, gari lilipigwa mawe sana,,wanajeshi wakaja wakawa wanapita nyumba baada ya nyumba,, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom