Naomba kujuzwa siri za Tausi kufugwa Ikulu

Tangu enzi za Nyerere tausi walikuepo ikulu ya magogoni, hakuna kipya
 
Kitambo sana nlipata mchongo wa kutafuta manyoya ya tausi, Enzi hizo ocean road jengo ni pagale watu walikuwa wanaogopa Kuingia Ndani mule tausi walikuwa wanaacha manyoya yao.

Nikikusanya nlikuwa nawapelekea wazungu Kuwauzia, Kuna siku nkaingia kwenye 18 za walinzi wa NIMR walinzi Walibana Mara Akaja boss wao namkumbka Jina profesa kilama wakawa wanatuhoji.

Nkampa mchakato akaingia line maana tulikuwa machali akasema waachienii Hawa, mbona Watoto wadogo lkn masharp shooter, tukaachiwa.

Ila manyoya yke kwa decoration si mchezo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wewe utakuwa wa longi hata Retired anamfahamu Profesa Kilama.
 
Alafu jamaa kwa kupenda ukabila eti aliambiwa na jk amfukuze msukuma jk kaja kuchomoa fasta maana hataki laana hii ya ukabila.....alafu jk ni km hakutaka kabisa huu utukufu wa kijinga wa mradi wa kugawa tausi ni km kaukataa kianina......Ingekua TAUSI ni ishu sn wala JK asinmgesema vila
 
Wanajf, bila shaka popote linapotajwa jina la ndege aina ya Tausi, basi bila shaka moja kwa moja zinakuja fikra za kuwaza ikulu! Na hii ni kwa sababu, ndege hawa wamekuwa maarufu zaidi kufugwa kule magogoni,na hivyo si rahisi kuwakuta sehemu nyingine kama majumbani au hata katika mbuga zetu!Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere bila shaka ndiye aliyekuwa muasisi wa kuwafuga hawa ndege aina ya Tausi ikulu, na Marais waliofutia wote waliendeleza utamaduni wa kuwafuga na kuwatunza!

Katika awamu hii, Rais Magufuli amekuwa akiwahusudu sana hawa ndege na inaonyesha anawapenda sana! Alimpa Rais wa Kenya, Mh. Kenyata lakini vile vile alimpa masharti baada ya kumpatia!

Katika ikulu mpya inayotengenezwa Dodoma, amehakikisha hawa ndege wanakuwa katika eneo hilo ili kuenzi utamaduni wa kuwafuga ambao ulianzishwa na Baba wa taifa!

Sasa, je hawa ndege tofauti na umbo lao la kuvutia ni sababu gani hawa ndege inawafanya wawe maarufu hivi, kiasi cha kufikia kufugwa tu ikulu?

Ni kwa nini hawa ndege hugawiwa viongozi wakubwa tu, mfano Rais mstaafu Kikwete ametangaza kupewa na Rais Magufuli, pamoja na familia ya Hayati Mwalimu Nyerere?

Je kuna siri gani juu ya hawa ndege inayowafanya watunzwe kwenye maeneo sensitive kiasi hicho?
Vipi, kuna watu binafsi wanaowafuga kama bata, kuku n.k?

Je, raia wa kawaida akitaka kuwafuga, kuna utaratibu wa kufuata ili awapate, na atawapata wapi zaidi ya ikulu? Wanajf, naamini hiki ni kisiwa cha maarifa, na wapo wajuvi wanaojua kuhusu hili, hebu mtutoe tongotongo tafadhali!
Miaka IMEPITA hivi niliwahi waona wanafugwa pale Tabora jirani na National wana ita GAME
 
tausi tausi tu hakuna nyuma ya pazia wala mbele ya pazia izo n mila na utamaduni wa kiafrika ambayo wenzetu wa dunia ya kwanza wanatushangaa tunapokaa na kuanza kukabidhiana mambo ambayo hana maana kwa dunia ya sasa
Hahaha ...we jamaa umenichekesha sana
 
I think ni pambo tu. Njoo Moshi maeneo ya SHANT TOWN kuna watu kibao tu wanawafuga. Muasisi wa ufugaji wa tausi katika eneo la Shant Town ni mzungu mmoja almaarufu BUNDI.
veep kwa marealle apo shant wapo
 
Tausi ni ndege wa kawaida kama wengine ,sema wao wana saidia sana kwenye usalama kuyokana na tabia yao ya kupiga kelele.

Tausi ni ndege ambae yuko sensitive sana hata kama mtu au kitu au tukio liko mbali huwa ana sence na pale pale hupiga kelele.

Sasa nadhani wanafaa sana mfano wa ndege pori wanaoruka kwenye pori la uwanja wa vita husaidia kushtua jeshi maadui wako wapi.

Mimi sio mjuvi sana.
 
Hao tausi hawana inshu. Wanakaa na kulala juu ya miti eneo linanuka tu mavi ya ndege. Bora ufuge kuku utamla. India wapo kibao.
 
Tausi ni Ornamental Bird, ni ndege wa mapambo mkuu
Wanajf, bila shaka popote linapotajwa jina la ndege aina ya Tausi, basi bila shaka moja kwa moja zinakuja fikra za kuwaza ikulu! Na hii ni kwa sababu, ndege hawa wamekuwa maarufu zaidi kufugwa kule magogoni,na hivyo si rahisi kuwakuta sehemu nyingine kama majumbani au hata katika mbuga zetu!Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere bila shaka ndiye aliyekuwa muasisi wa kuwafuga hawa ndege aina ya Tausi ikulu, na Marais waliofutia wote waliendeleza utamaduni wa kuwafuga na kuwatunza!

Katika awamu hii, Rais Magufuli amekuwa akiwahusudu sana hawa ndege na inaonyesha anawapenda sana! Alimpa Rais wa Kenya, Mh. Kenyata lakini vile vile alimpa masharti baada ya kumpatia!

Katika ikulu mpya inayotengenezwa Dodoma, amehakikisha hawa ndege wanakuwa katika eneo hilo ili kuenzi utamaduni wa kuwafuga ambao ulianzishwa na Baba wa taifa!

Sasa, je hawa ndege tofauti na umbo lao la kuvutia ni sababu gani hawa ndege inawafanya wawe maarufu hivi, kiasi cha kufikia kufugwa tu ikulu?

Ni kwa nini hawa ndege hugawiwa viongozi wakubwa tu, mfano Rais mstaafu Kikwete ametangaza kupewa na Rais Magufuli, pamoja na familia ya Hayati Mwalimu Nyerere?

Je kuna siri gani juu ya hawa ndege inayowafanya watunzwe kwenye maeneo sensitive kiasi hicho?
Vipi, kuna watu binafsi wanaowafuga kama bata, kuku n.k?

Je, raia wa kawaida akitaka kuwafuga, kuna utaratibu wa kufuata ili awapate, na atawapata wapi zaidi ya ikulu? Wanajf, naamini hiki ni kisiwa cha maarifa, na wapo wajuvi wanaojua kuhusu hili, hebu mtutoe tongotongo tafadhali!
 
Tausi ni moja ya ndege wa mapambo, au ornamental birds na ni kama mau, kina Tausi wanao.patikana Africa na Asia, Tanzania hakuna Hifadhi yenye tausi
Nasubiri kwa hamu sana majibu kutoka kwa wahusika wa nyara za taifa kwani mimi nawatamani sana tangu nikiwa mtoto kuna wakati nilitamani kukamata vifaranga waliokuwa wanazagaa kwenye bustani ya maua pale shabani robert lakini wahudumu wa pale miaka hiyo ya 70s wakanionya kuwa ningesababisha wazazi wangu wafungwe kama ningepeleka vifaranga hao nyumbani.
 
Back
Top Bottom