Serikali inapoteza kodi kwa wafanyabiashara wanaofanya huduma ya delivery

Mabelana

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
517
250
TRA amkeni kuna hela nyingi zinapotea kwa wanaofanya biashara kwa mtandao na kufanya delivery, watu hawa wanaongoza kwa kukwepa kodi.

Imeshanitokea mara mbili, mara ya kwanza niliagiza TV yenye thamani ya tshs 1, 300, 000/= jamaa alioileta rist iliandikwa laki nne nikamgomea nikamwambia sitaipokea hadi nimepate risiti iliyoandikwa kiwango nitakacholipia na mara ya mwisho juzi tu kwenye kampuni nyingine pia utaratibu ulikuwa uleule.

Kifaa nilichoagiza kina thamani ya tshs 94, 000/ safari hii rist iliandikwa 5, 000/= . Nikamwambia aondoke na mzigo wake siku ya pili alinipigia simu na kuniambia amepata risiti hivyo aniletee mzigo nikamwambia sihitaji tena.

Hii biashara ni ya hovyo sana.
 
Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,022
2,000
Mimi huwa sipendi unafiki. Vitu vingi navyomiliki nikienda kununua chakwanza nawaambia nipeni bei isiyo na lisiti.

Haiwezekani nilipe kodi alafu baada ya apo mseme barabara sijui maendeleo kaleta magufuli wakati anakula na kulala kwa kodi zetu na mshahara wake halipi kodi.
 
Mabelana

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
517
250
Embu acha ukuda mkuu.

Ww hata kwenye familia yako utakuwa mkoloni sana.
Wewe ni tra mkuu, ila ndio nimeamini asiliamia ku wa wanaotumia mitandao tz ukiwwmo wewe, uwezo wenu wa kuchambua mambo ni mdogo sana wengi mnajua kutukana tu. Badilika kijana.
 
Mabelana

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
517
250
Ungewaripoti basi ww mwenye uwezo wa kuchambua mambo sio kuja kubwajaja tu huku, wakati hata wahusika wasikusikie.
Wapo hapa na wameshaona, ila wewe kuchangia haa ni kihelehele chako tu na lwa vile umelelewa mazingira ya kutukanana.
 
Recu

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
243
500
Natamani nikuone we jamaa sijui utakua unafananaje!! Hongr.
TRA amkeni kuna hela nyingi zinapotea kwa wanaofanya biashara kwa mtandao na kufanya delivery, watu hawa wanaongoza kwa kukwepa kodi.

Imeshanitokea mara mbili, mara ya kwanza niliagiza TV yenye thamani ya tshs 1, 300, 000/= jamaa alioileta rist iliandikwa laki nne nikamgomea nikamwambia sitaipokea hadi nimepate risiti iliyoandikwa kiwango nitakacholipia na mara ya mwisho juzi tu kwenye kampuni nyingine pia utaratibu ulikuwa uleule.

Kifaa nilichoagiza kina thamani ya tshs 94, 000/ safari hii rist iliandikwa 5, 000/= . Nikamwambia aondoke na mzigo wake siku ya pili alinipigia simu na kuniambia amepata risiti hivyo aniletee mzigo nikamwambia sihitaji tena.

Hii biashara ni ya hovyo sana.
 
Bongosilo

Member
Apr 26, 2020
20
45

Hauko sahihi kwa sabbu kabla kitu hakijatoka kiwandani au bandarini tayari imeshalipiwa kodi, direct tax,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom