Kwa nini kila uchao anatajwa kama fisadi?ubaya zaidi vi kampuni vyake ukienda Brela hukuti jina lake.Anajificha sana sa
na.Hana nia njema.Halafu kwanini anapenda ikulu sana?
Rostam asidanganye umma,yeye kachukua mgodi uliokua wa NDC kiajabu ajabu hata wafanyakazi wanashangaa.Kampuni yake ya Caspian ilikua mtoa huduma wa mgodi ule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.