Niwaambie watu Europe wameamka hawataki huu ujinga wameandamana sana kupinga chanjo, lockdowns, na barakoa kwa sababu washajua ishu nzima ya covid ni biashara ya chanjo na mauaji ya kimbari kutumia hiyo chanjo. Huamini ngoja ije ila uwe mstari wa mbele. Msiklize huyu mshindi wa zawadi ya Nobel...
Tanzania Orders Destruction of Monsanto/Gates Foundation GMO Trials
https://sustainablepulse.com/2018/11/24/tanzania-orders-destruction-of-monsanto-gates-foundation-gmo-trials/#.YIIfOehKi00
Kwa nini iwe Bagamoyo na isiwe Kilwa au Mafia? Tuache uzuzu hii ni project ya JK ila anatumia wapambe wake na mmojawapo ni Zitto. Huyu ni suhuba wa JK mkubwa sana.
Dear fellow Tanzanians, I would like to present to you a recent paper published in a journal "Medical Hypothesis, Volume 146, January 2021, 110411" with regard to wearing facemasks for preventing supposedly COVID-19 disease. The author concluded that the wearing of facemasks is ineffective in...
Dawa inayoonekana kutibu ni hydroxylchloroquine na zinc (Azithromycin) ila hawa wababe wenye pesa ambao wanashare zao kwenye makampuni makubwa ya madawa duniani wanaipiga sana vita. Angalia hii video labda utajifunza namna kirusi kinavyshambulia mwili na namna hizo dawa zinavyofanya kazi...
Kwa taarifa yako dada yangu ni kuwa athari za chanjo inaweza kuwa ni muda mfupi au mrefu. Mfano wakati chanjo ya polio kabla haijaanza miaka ya 1950s kulikuwa na zero cases za cancers sehemu kubwa ya Dunia, lakini baada ya miaka kadhaa ya kuchanja polio duniani, sasa hivi kuna aina kadhaa za...
Inaonekna ushakuwa social engineered by mainstream media. Soma hichi kitabu kimetoka karibuni kipo amazon
Anyone Who Tells You Vaccines Are Safe and Effective is Lying
Kisha msikilize huyu myahudi akitoa evidence ya kinachotokeaa huko walipo
Israeli fears a new Holocaust is coming - Shai Dannon...
Elimika hapa:
Death Rates Skyrocket in Israel Following Pfizer Experimental COVID “Vaccines”
Are More People Being Harmed by the Pfizer Experimental “Vaccine” than from COVID? Israeli Population Now the World’s Lab Rats Sold Out to Pfizer
CNA Nursing Home Whistleblower: Seniors Are DYING LIKE...
BARAKOA INAVYOONEKANA HAISAIDII KUZUIA MAAMBUKIZI NA NI HATARI KWA AFYA. SOMA HAPA CHINI
Barakoa kiufundi au kisayansi ni hatari sana kwa afya yako na hasa unapoivaa kwa muda mrefu. Inaweza pelekea mtu kupata magonjwa kama kansa ya mapafu kwa mujibu wa tafiti za karibuni. Lakini kikubwa zaidi...
Barakoa kiufundi au kisayansi ni hatari sana kwa afya yako na hasa unapoivaa kwa muda mrefu. Inaweza pelekea mtu kupata magonjwa kama kansa ya mapafu kwa mujibu wa tafiti za karibuni.
Lakini kikubwa zaidi ni kwamba haisaidii kupunguza maambukizi ya huu ugonjwa wa korona kwa mujibu wa tafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.