Ulaya ni kama hamna Uviko19, fainali za Euro 2020-Wembley imetapika

Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.

Mama wahisha 'Chanjo'
Waitalia wananichelewesha kwenda kuanza Fainali yangu ya 'Kibaiolojia' na Demu wangu Kitandani. Ole wao wafungwe kwa Penati sitowapenda na Kuwashangilia tena.
 
Ina maana wimbi la tatu lipo Afrika tu 😂😂😂😂,huku ni kuchezeana akili sasa
Lengo lao ni wao waje washike maeneo huku hii ya tatu inauwa kama kideri kinavyouwa kuku, watu hatuna tahadhari serikali wanaongea juujuu tuu, watu hawana tahadhari nimepanda haisi moja jioni hii watu wanahemeana hadi mdomoni hakuna barakoa akiwa nayo mmoja kwenye gari itauwa wangapi! Sheria zinahitajika kudhibiti hili janga
 
SA, Uganda, Rwanda walishapata chanjo, ila nasikia hali ni mbaya kama hawajawahi kuchanjwa, mama apeleke chanjo na huko aisee.

Kazi iendelee
Ni kama Ulaya tu... maambukizi ni mengi ila watu hawalazwi tena ma
hospitalini! Hii inaonyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa wa chanjo kufanya kazi...
 
Ina maana wimbi la tatu lipo Afrika tu 😂😂😂😂,huku ni kuchezeana akili sasa
Wimbi la tatu hata Uingereza lipo. Variant ya delta limepanda Sana. Tunategemea mwezi huu baada ya kuachana na barakoa wamekadiria maambukizi laki Kwa siku Ila Kwa sababu ya chanjo madhara ya kulazwa hospitali ni madogo.
 
Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.

Mama wahisha 'Chanjo'
Viongozi wanatuua na covid 19 ruhusu tasisi zinazo ukiweza aagizie chanjo wakinasie mnatufutia utaratibu ila matajiri kufa ni lana kwa taifa
 
Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.

Mama wahisha 'Chanjo'

Hawa lengo ni kushusha uchumi wa Africa maana ndio mali gafi zinatokea. Na kwasababu akili zetu zimekaa za kuomba omba ndio maana tunakutwa na haya
 
Kipindi hili gonjwa linaanza tuliwananga sana wazungu, walichukua tahadhali za msingi sana naona sasa wanaelekea kufanikiwa,
Watu wameajaa, no Barakoa.

Mama wahisha 'Chanjo'
Niwaambie watu Europe wameamka hawataki huu ujinga wameandamana sana kupinga chanjo, lockdowns, na barakoa kwa sababu washajua ishu nzima ya covid ni biashara ya chanjo na mauaji ya kimbari kutumia hiyo chanjo. Huamini ngoja ije ila uwe mstari wa mbele. Msiklize huyu mshindi wa zawadi ya Nobel ambae ni virologisy mkubwa akizungumzia kuhusu chanjo.

Ulikuwa ni uamuzi wa maana kuahirisha hii michuano mpaka mwaka huu.

Miezi kama hii mwaka jana wazungu walikuwa wakiongea kupitia varanda za majumba yao. Hakuna kukaribiana na ikabidi wachanjane ili mpira na shughuli za jamii ziweze kuendelea.
 
Back
Top Bottom