Recent content by Bonface William

  1. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu juu ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (BRT)

    wembamba wa barabara sio shida kwani mabasi haya ni ya moja kwa moja kupitana labda kwenye kituo, barabara zake ni maalum na zinavipimo vyake ndo mana kwa mtazamo tu wa kawaida unaweza kuziona ni nyembamba sana
  2. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kunywa maji ya baridi haya hapa

    kiukweli kama yana madhara kama hayo cjui nitafanyaj ili niweze kunywa ya uvugu vugu maana nayapenda kupita kiasi duh!!!!!
  3. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Android tablet inauzwa bado mpya

    kula mbili unusu
  4. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    makamanda tusonge mbele tusikubali wao wana kikundi chao nasi pia tuanzishe chakwetu bhana kwani vipi hawa mafisadi??? wao wanapolisi wana jeshi sasa hiki kikundi kingine ni chanini
  5. Bonface William

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania free internet :GURU INTERNET TUNNEL KWA KILA MEMBER WA JAMII FORUMS............

    jamani hata mimi natamani kuipata hiyo speed lakini nikiclick hiyo screen haijigusi tena je nifanyaje wakuu, me natumia modem ya airtel je inawezekana kutumia????
  6. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Tanzania wanahongwa na CHADEMA - Spika Makinda

    ccm kweli wameishiwa sera, chadema inapiga vita ufisadi na rushwa afu tena wao wahonge waandishi,embu mama makinda kua na busara kwani umri wako na busara yako haviendani, nimara nyingi sana tunshudia kwa macho yetu ufitini wanaofanyiwa wabunge wa kambi ya upinzani, sasa cjui kama unayoyaongea...
  7. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Kwani hata mwezi huu wa ramdhani tbc hawaruhusu hijab kwa watangazaji wa kike?

    tbc ni televition ya taifa hivyo c vyema kama watavaa ijabu sababu italeta tafsiri tofauti kwa jamii
  8. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Makambi ya mafunzo kwa 'Green Guards' wa CCM yavunjwe - Dr Slaa

    cdm msilinyazie hili kwani ni hatari kwa cha chetu
  9. Bonface William

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 12 kwa ufisadi kati ya Nchi 107 duniani.

    2015 ukombozi mwisho wa ufisadi
  10. Bonface William

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba kujua

    jamani wakuu naomba kuuliza kama sio kujua, nimekua katika wakati mguuumu sana kwani kunamaneno watu husema kwamba mwanamke mwembamba huwa haridhiki na mwanaume mfupi, na kwaupande wangu me naamini kua wanaume wote ni sawa kwamba alichonacho mwanaume mrefu ndo alichokuanacho mwanaume mfupi au...
  11. Bonface William

    JamiiForums Tanzania sijui ni ugonjwa au

    ivi mwanaume kutokua na hamu ya kufanya mapenzi ni ugonjwa au ni kutokua na nguvu za kiume wandugu???
  12. Bonface William

    JamiiForums Tanzania hodi wadugu!!!

    jamani nikweli kwamba mwalimu akiwafundisha wanafunzi wake eti eti!eti! hakuna jamii bila kujamiiana, mwenye ukweli aniambie
Back
Top Bottom