Labda umechelewa kujua hili, au labda wamebadili mfumo wa kuitumikia CCM na kujiweka wazi zaidi lakini napenda ufahamu kwamba miaka yote hii, jeshi limekuwa likiisaidia CCM sababu kuna wakubwa wa jeshi nao wana maslahi yao ambayo wanaonahata wakistaafu waishi kwa utajiri mkubwa kushinda askari...
Pamoja ya kwamba una hoja nzuri lakini plastic wrapping ni worldwide practice. Airports zote hufanya hivyo lakini sio lazima ni pale mtu binafsi akitaka kufanya hivyo ili kuzuia bag lake lisichubuke au kuchafuka then atalipia huduma hiyo na yale malipo huwa kama comensation kwa ajili ya kutumia...
Haya mashirika bwana yule nzilankende aliwazungua sana mpaka UN women walifunga ofisi zao bongo wakabakiza staff kadhaa tu. Hii haiwezi kurudisha imani zao kwetu kwa haraka taking into consideration of the current socio-political circumstances happening in our country.
Rais aliyeingia...
Mnawaza kuajiriwa tu, kwa CV yake anaweza kuwa member wa boards mbalimbali, consultant, lobbyst, businessman etc. Anapenya kila sehemu hana shida kubwa kujitambulisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.