Recent content by Bonafide

  1. Bonafide

    Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

    Freedom of Speech, let her be.
  2. Bonafide

    Kwanini wanawake hutumia majina ya waume zao wanapoolewa?

    Ahahaha, na kweli wabadilishe na wao
  3. Bonafide

    Celebrity couples tajiri zaidi Tanzania

    Na kweli aandike mirathi mapemaaaa
  4. Bonafide

    Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

    Thank you, big time. Hope this will work.
  5. Bonafide

    Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

    Baro Ndo nielekeze sasa, kama hivyo ulivyo ni quote mimi
  6. Bonafide

    Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

    Jamani, naomba msaada, unamjibuje mtu hoja yake... Nimetafuta wee button ya ku click ili kumjibu nimekosa. Nikijibu inakuwa kama hoja ya kawaida tu, au kama vile nime mquote
  7. Bonafide

    Correct Kasie if she is wrong

    And why do i have a feeling that Kasinde got an interesting attitude?
  8. Bonafide

    A God can be a mere theory, nothing more

    Basi inaonekana huamini kuwepo kwa Mungu wala shetani. Basi wewe unaamini umetoka wapi?
  9. Bonafide

    A God can be a mere theory, nothing more

    Mtoa mada kama huamini kuwepo kwa Mungu, je unaamini kuwepo kwa shetani??. Na unadhani wewe umetoka wapi?
  10. Bonafide

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Hilo tatizo inaonekana ulililea tangu mwanzo, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo same applied to mke. Ila solution sasa ni kuanza kujenga mahusiano yako na mkeo, kaa nae ongea nae mara kwa mara, kila tatizo linapojitokeza usirundike mambo, na kama ni ndoa ya kikristo jua haina mwisho, kwahyo...
Back
Top Bottom