Nakukumbusha pia hiyo hiyo biashara ya mbowe familia ndio iliweza kumnunulia suti nyerere,hiyo hiyo biashara ndio ilimwezesha kununuliwa tickets ya ndege kwenda UN.
Acha wivu wa kike hiyo nyumba ilianza kujengea kabla hata ajabambikiwa kesi na kesi ilivyokwisha alikwenda hapo kwenye hiyo nyumba kwa mapokezi hata kabla ajaisha alipokelewa hapo hiyo miezi 3 umeitoa wapi chuki umaskini wa mi ccm hadi mnakuwa wachawi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.