Recent content by Bona_Fide

  1. B

    JamiiForums Tanzania Takwimu za umasikini: Katika kila watu 100, Dar 5 masikini, Kigoma 48, Geita 43 masikini!

    Wawekee Source hii hapa: http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/na/Kitabu_Cha_Hali_Ya_Uchumi_wa_Taifa_katika_mwaka2016.pdf
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Hio ndio changamoto ambayo TCU waliweza kuitatua kwa kiasi kikubwa, Tusubiri vilio vya wanafunzi kukosa vyuo..
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

    Hapo juu mbona kama tutakuwa tumerudi kwenye mfumo ule wa zamani ambapo mtu mwenye ufaulu mzuri anapata kila chuo na kuzuia nafasi kwa wengine, au nini kitatokea?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji Metropolitan Insuarance mnaboa sana

    Hizi ni chuki zako binafsi, Kama ungekuwa unahitaji majibu nenda ofisini kwao
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ni wa muhimu kwangu

    One arm will be bigger than the other..
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

    Mkuu Himidini, Naomba pia ufanye research; kwa nini ni rahisi kwa wanawake japo sio wote kumpenda/kuvutiwa na mwanaume "Muhuni"??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Samsung Galaxy S1!!

    SAMSUNG GALAXY S1 Iwe kwenye hali nzuri, budget yangu ni TZS 200,000/= for any interested seller, send a PM(sms).
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kazi ya kufanya

    acha mambo yakishoga wew perry.sio lazima kuchangia kila post
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    Well said, well noted.. kiranga wewe ni jembe hapa JF
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    wapi ulisema ni kwa walio TZ??
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    sio watu wote hapa wapo Tanzania, kuna wengine ndio wameamka..
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    Ninacho mkubali Kiranga yeye haangalii nani kasema nini, yeye anaangalia umesema/umeeandika nini, hapa watu wanaleta ushabiki na urafiki tu lakini asilimia kubwa tu haiwezi kukubali hili swala lako la uhongwaji ndio maana ni rahisi mtu kuku ingiza kwenye ilo group la watoto wa ohio kama msemavyo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    kwaiyo ni shemale, tomm boy au?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuzo yangu ya nobel kwa wanaume wahongaji/mibuzi ya ukweli!

    mbona unayo furaha sana binti au kuna jamaa kakuonga??
Back
Top Bottom