Mimi ni mwanachama wa Metropolitan insurance company kwa miaka mingi kidogo, lakini kuna mambo ambayo siyaelewi kwa kiasi kikubwa sana juu ya huduma na TAT (Turn around time)
Naona kama ubora wa huduma yao inadolola sana kwa kiasi kikubwa.
Baadhi ya mambo ambayo siyaelewi ni kama ifuatavyo.
1. Kutokana na utaratibu unaoeleweka ni kwamba, kwa mwanachama yoyote ikitumia ghalama zako kughalamia matibabu iwe dawa au vipimo untakakiwa kwenda na vielelezo ili uclaim pesa zako kwenye kampuni.
Hili limekuwa likifanyika katika kampuni hii ila kuna matatizo yanatokea ambayo yanahitaji kutolewa ufafanuzi wa kina kwetu sisi wanachama kwani hatuelewi kabisa na inatuchanga hadi kufikia hatua ya kujuta kuwa sehemu ya hii kampuni.
a) Ucheleweshaji wa malipo--Hili ni tatizo kubwa sana kwani ukishasubmit vielelezo vyako inachukua muda zaidi ya wiki tatu na kuendelea kupata pesa yako, huu ni muda mrefu sana hasa kwetu wenye mishahara midogo, tunashindwa kufanya shughuli nyingine kutokana na kucheleweshwa kwa pesa zetu. NAOMBA SANA UTAWALA WA KAMPUNI HII YA METROPOLITAN ILITOLEE MAELEZO YA KINA ili sisi wateja wake tulelewe mkwamo ulipo na nini kifanyike ili tuweze kuamua hatima yetu ndani ya kampuni hii.
b) Malipo kukatwa--Hili ni tatizo lingine ambalo linahitaji kutolewa ufafanuzi kwa kina sababu haingii akilini ni kwa sababu zipi mtu unakusubit (payment vouchers) zote ambazo zimetolewa na mashine za hospital let say Total Tzs 540,000 lakini cha kusikitisha, check ikiandikwa inaletwa laki tatu tena bila ya maelezo ya kukatwa kwa pesa yako.
Ni wakati wa kampuni hii kuwataarifu wateja wake sababu hasa za kupunguza pesa halali uliyolipia au waseme kabisa kwamba unapotumia pesa yako basi wenyewe wanacover asilimia fulani ya ghalama zote, cha ajabu wako kimya na sisi wateja hatujui ni nini kinafanyika.
c) Kukataza Baadhi ya dawa--Kuna baadh ya hospitali wamepewa amelekezo ya kutotoa baadhi ya dawa, kama dawa za vitamb c d n.k nashindwa kuelewa nini maana ya insurance.
tuanomba uongozi wa kampuni hii utoe maelekezo ya kina juu ya kero ambazo nimezitaja kwa baadhi tu ili atleast tuweza kujua japo kwa uchache make hii ni kero sana kwetu wateja.