Recent content by Bomoabomoa

  1. B

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na Wanahabari. Serikali Kuu kulikuwa na mapendekezo 91, mawili tu ndiyo yametekelezwa, neno "dhaifu" kuendelea kutumika

    Sudan kimeshaeleweka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Siku za Rais Kagame zinahesabika. Je, atakimbilia Tanzania?

    Anayeua naye atakufa tu hakuna binadamu atakayeishi milele. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Abdul Nondo: Umuhimu wa vyama pinzani kuungana

    Nimefika mahali nimeacha kusoma nyuzi za huyu kijana nimeona bora nisome komenti tu. Ana hoja za kulazimisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. B

    JamiiForums Tanzania Shirika la posta lapoteza 1.2 billion ndani ya siku 18 tu

    Ili kuchambua hayo maombi 91,000 inabidi uwe na watu si chini ya 1,000 ambao wangeyapitia moja moja na kuchuja kwa muda uliokuwa umepangwa ambapo pia Wizara ingetumia gharama kubwa kuendesha huo mchujo. Wakati kwa njia ya kielektroniki iliyotumika unahitajika uwe na watu kama watano tu kufanya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere nitaendelea kupinga upotoshaji wako wenye lengo la kugawa umoja kwa vya pinzani,Mimi Kama mwanademokrasia huru.

    Tafuta mtu mwingine wa kushindana nae kwa hoja kijana huyo Yericko siyo size yako kabisa. Kama unaweza kushauriwa shaurika. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. B

    JamiiForums Tanzania .. Opposition Is In Disarray.

    Hivi wewe ni Maggid Mjengwa yule yule mchambuzi nguli wa siasa au kuna mtu anatumia jina lako? Sasa ndo umeandika nini mkuu?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Lini mmechukua ushauri wake wowote anaoutoa bungeni? Kila akishauri mnaishia kumkejeli na kumtukana. Leo yamewakuta ndio mnataka ushauri wake!!!!! Kweli Tz hauachi kushangaa!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Kujipendekeza kupi sasa? Kwani hatudaiwi? Kwani ndege haijazuiwa? Mbona una ushabiki wa kindezi hivyo?
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yote Kimya, mpaka rais Magufuli aongee!!

    Unataka kuaminisha wasomaji kwamba wewe ni kamanda wa CDM. Ila bahati mbaya ni kwamba vidole, akili na moyo wako havina ushirikiano.
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Gari moja ya msafara wa rais Uhuru Kenyatta yapata ajali

    Hizi zinaweza zikawa figisu from the neighboring country.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tundu Lissu kawachezesha watesi wake singeli na singeli remix

    Mie Miezi 4 tu mbona Mandela alikaa miaka 27. Wakati mwingine ni bora tu ungekaa kimya.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uko wapi uzalendo wa Tundu Lissu kwa Nchi yake?

    Nimekuelewa sana!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA Ukerewe wahamia CCM jioni hii

    Huyo Mwenyekiti na hao Madiwani hawana majina? Na hizo kata zao nazo hazina majina? Mtoa mada tafadhali ipe uzito habari yako kwa kutaja majina wahusika na maeneo yao vinginevyo habari yako inaonekana ni ya kupikwa.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nani kama Magufuli? Hakuna na nasema tena hakuna mbadala wake

    Najua hiyo ilikuwa ni ndoto, haya ndoto imeisha endelea na majukumu yako kaka. Bahati mbaya mambo yako vilevile tena ndo yanazidi kuwa mabaya zaidi.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

    Ngoja siku ukitekwa wewe na sisi tukae kimya na vyombo vyote vya habari vikae kimya ili tuwakomoe magaidi.
Back
Top Bottom