Recent content by Bomba Junior

  1. Bomba Junior

    Kinachoikuta Yanga leo kuikuta pia Simba

    Sasa kawaambie wachezaji wa simba wagome kucheza mechi 2 zilizobaki kwa sababu simba itakuja kuwa kama yanga!!!
  2. Bomba Junior

    Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

    Sio ajielew inawezekana waliopita apo wanemuona ni pasua Kichwa tatizo lao walioenda ktk Ilo kongamano ni sawa na mtu alijikwaa alafu akachukia pale alipodondokea lakin alitakiwa aangalie nn kilichomuangusha ili ajifunze.
  3. Bomba Junior

    Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

    M/mungu anasema oeni mwanamke kwa mambo manne!!!1-dini yake 2-uzuri wake 3-umri wake 4-nasaba au ukoo wake.Sasa wanawake wa sasa wamepoteza izo sifa asa sifa namba 1 ambayo ndo sifa muhimu kuliko sifa zote.
  4. Bomba Junior

    Nataka kuitisha maandamano nchi nzima, kupinga mwanaume kuwa Na mwanamke mmoja

    Kumbe ndo maana m/mungu alipanga mume mmoja kwa wake wanne alijua kuna uhaba wa wanaume ivyo lazima wanawake wastiliwe kwa njia iyo.duuuuuuuh kweli mungu mjuzi.
  5. Bomba Junior

    Ningemuacha 'dada' yangu huyu dunia ya wanaume ingenizomea

    Daaaah ndo umeshazidiwa akili teyar!!!!
  6. Bomba Junior

    Msaada: Hii hela ni Rupia au?

    Iyo co rupia ndugu ila rupia zinazotafutwa ni izi.
  7. Bomba Junior

    Wanaume kwanini mnapokamatwa kwa kosa la kutembea na msaidizi wa ndani hamuombi msamaha ili yaishe?

    Anayefanya vizuri mazoezini ndio anayepangwa katika mechi kwa iyo mabek 3 ni kama wachezaji wanaotafuta namba katika kikosi cha kwanza ndo maana wanajituma sana katika kazi na hapo makocha tunapoamua kuwapa namba katika kikosi cha kwanza waoneshe ujuzi wao wale wenye kuchezea majina yao...
  8. Bomba Junior

    Vifo vya majini! Namna nyingine ya kuongeza mapepo

    Mshana uje na mada ya misukule maana uku kwetu hali c shwali ili tujue kama tukiwaona tunaweza kuwakamata tuwakamate.
  9. Bomba Junior

    Umewahi kuwa na mpenzi 'hopeless' ambaye zaidi ya 'sex' hakuna kinachowaunganisha?

    Gudume apo ingekuwa miaka ile ya nyuma ningekushauri usikilize nyimbo ya juma nature ya sitaki demu!!!
  10. Bomba Junior

    Shule Top 10 zenye gharama kubwa Tanzania

    Najivunia sana kusoma IST kutoka darasa la awali mpaka kidato cha sita ila tatizo nililo nalo nimekosa ajira!## sina uhakika na nilichokiandika#
  11. Bomba Junior

    Hali ni mbaya wadau Hebu tuelezane ukweli sasa."Mficha Uchi hazai"

    Mm sasa ivi nimeshajiandaa kisaikolojia maana nilipata dem alafu nikawa napiga nasepa mara ya 3 nikaanza kusikia natangaziwa sina nguvu za kiume nikaumiza kichwa nikagundua kumbe simpi vitu alivyovitaka maana alianza beby"nadaiwa kodi ya miezi 3,sina feni ata tv cna yaan nikiingia ndani...
  12. Bomba Junior

    Mtangazaji wa Clouds FM, Diva the bawse anatumia stori za JamiiForums kwenye kipindi chake

    Daaaaah ila kila baada ya mistari miwili gudume unakazia muonane halafu autaki awepo mtu mwingine zaid ya nyinyi tu wawili,Ila kiukweli kakukosea sana aombe radhi adhalani uyo.
  13. Bomba Junior

    Enjoy this! Dhana asili ya kuchoma UDI na kuvukiza mavumba

    Watu wanaita"mshana mshana"aya sasa kaibuka na dubwana ilo la UDI na miuvumba!!!!
Back
Top Bottom