Recent content by Boly-ago

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tecno Y3+ inauzwa kama spare.

    Chukua 20 elfu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo anabebwa mno na vyombo vya habari

    Angebebwa nani?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kiwanja bei poa

    Bei nzuri lkn vp mafuriko ya airport au kipo sehemu salama?Nipo Dar naweza mtuma ndugu yangu akaja kuona
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbili: Basi la NBS kutoka Dar - Tabora na Basi la Kisbo, yamepata ajali Morogoro

    Yani hapa jf huwa kuna watu wana habari nyingi na wanafahamu mambo mengi.Mfano magari yanayokimbizwa sana lkn viongozi hawaoni taarifa hizi wazifanyie kazi?wakati tunao wengi hapa jf.Inakera sana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu la ekari moja na nusu Chanika

    Umbali gani kutoka chanika mjini?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu la ekari moja na nusu Chanika

    Weka bei upewe pesa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nauza madirisha(mninga)

    Mangapi mkuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tunauza duka la rejareja, lina mtaji wa 5m

    Weka namba ya simu nitakutafuta.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Askari Trafiki Namba F1839 Ali Kinyogori, auawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulika

    R.I.P Afande Kinyogori Yanga tutakumis Sana.pole familia ya Afande.Mungu amlaze mahali pema.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Bukoba kuipiku Dubai kwa miundombinu kabla ya 2017

    Mleta mada hajatukana.lkn wachangiaji ni mitusi tu. Unaweza kutoa mawazo bila kutukana.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jamhuri iliyomshitaki kijana Issack isimshitaki mke wa waziri huyu?

    Hata wanaojiona wamesoma sana.wanashinda mitandaoni wakitafuta vyeo.Wakishapata,utasikia vijana mjiajiri kuna fursa nyingi.Wakiachishwa wao hawawezi kulima hata bustani ya mchicha.Maskini Tanzania siasa zinatuangamiza kiakili.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kuuzwa nyumba za Serikali ni uvivu wa kufikiri

    Nahisi harufu ya jela hapa, jadilini kwa uangalifu mkubwa.
  13. B

    JamiiForums Tanzania CUF na CHADEMA, kwanini maprofesa hawapendi kujiunga navyo?

    Mapro wengi hawjiamini wanaishi kwa kutegemea huruma ya viongozi wa siasa.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa CCM wanaotuhumiwa kuvuta rushwa kamati za Bunge

    Ukoo wa panya.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipiga marufuku Bodi ya NHC kuruhusu ujenzi wa miradi mipya ya kibiashara

    Maagizo Tu siku hizi.
Back
Top Bottom