Recent content by bolokwabo

  1. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

    Sababu za kipuuzi kabsa izi mana kwenye vigezo hakuna sehem inaonesha mgombe lazima awe amejiandikisha.
  2. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Marekani ilipoteza muelekeo ilipoanza kuchanganya dini na siasa kinyume na malengo ya waanzilishi wake

    Nikweli lakin mashariki yakati ndo walikoanza ifilaji ambao ndo sodoma na gomola.
  3. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

    Dini,dini,dini aiaee hii hapana hatari sn hakuna tofaut na ubakaji hapo .
  4. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba: Ni ushamba kugombana kisa uchaguzi, tuendelee kumuombea Rais Samia

    sawa njoo sasa chawa msimbi sijui ugimbi ujibu hoja za mwamba huu
  5. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Vita ya kisiasa baina ya Tanganyika na Zanzibar ipo wazi sasa

    A kWel alafu sisi watanganyika hatuna chakupoteza kwa zanzibar hata leo hii muungano huu uchwala ukivunjika wao labda wao
  6. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Azam na habari ya saa mbili haitangazi matukio muhimu ya Serikali

    Iyo kaz ifanywe na hao machawa wake uliowataja hapo wakiwemo tbc
  7. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania HAKI ya kuchagua, iende sambamba na HAKI ya kumfuta KAZI kiongozi niliyemchagua, nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu?

    Kweli kabsa mkuu zanzibar tayali inajiongoza na serikali yake kila kitu kwa sasa inajipangia yenyewe
  8. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Update: Mwili wa Mtoto Albino (Asimwe) wakutwa hauna baadhi ya viungo

    Alafu kuna watu wajiita watetezi wa haki za binadamu wanataka azabu yakifo iondolewe je watu km hawa wakipatikana wafanyweje sasa
  9. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Ofisi hii inakidhalilisha Chama

    Ngoja tushike dola tutabadisha ziwe kama za ccm
  10. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ntamshauli aludi kwa amani kwnye nchi yake atuachie tanganyika yetu
  11. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Yani huu muungano tunalazimishwa na wanasiasa tu lakn sisi wenyewe wananchi hapana hatuiitaji ningumu sana kuishi pamoja waznzibar na tanganyika pamoja kwa siku zijazo
  12. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    Wakawaida sana mjomba usitishike kiivyo,bongo tuna pisi za maana sana.
  13. bolokwabo

    JamiiForums Tanzania Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

    We subili atajaa kwenye mfumo yule .
Back
Top Bottom