Recent content by Bolloyank

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    hata hivo umevumia mi mbona namuua kabisa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kazi anahtajika haraka

    Mshahala sh.ngapi na wapi kituo cha kazi?
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Na huyu naye kasema nisubiri, je mambo hayatakuwa kama yale?

    Tafuta mwingine we we umri wote huo bado una danganywa kitoto hivo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Dar matapeli wengi?

    ulimfahamu vipi huyo mtu? na mpaka mkamtumia pesa pspo kufika kwanza?
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kuvaa chupi ya mwenza wako imekaaje?

    hata Mimi nimeshangaa bana!
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemzidi umri kwa miaka 12

    miaka 44 hujazaa? we Ndo basi tena una mwaka mmoja tu mbele Wa kustop hata Ku breed ni miaka 45 mwanake uzazi kush neh!
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kuvaa chupi ya mwenza wako imekaaje?

    haaaa! kidume unavaa chupi? kengere zinakaa wapi sasa zitakosa parking! duuuh sijawahi kuivaa na sidhani kama itatokea...
  8. B

    JamiiForums Tanzania I'm looking 4 a girlfriend

    karibu Jf kijana
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mlokole

    daaah Huuu ni usengerma kabisa had I Payslip yangu inamhusu nini sasa, Naunga mono kuachana na huyo mwanamke mtwange talaka 3 mchana kweupe halafu wazazi wake watamtafutia mlokole mwenzie huko haiwezekani mwanangu umuachishe kunyonya miezi 3 huumwi wala kisa kanisa daa amaizing.Makanisa sasa...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kutongoza wanawake wa Dar!

    Kosa la wanawake wa Dar ni lipi sasa? Hayo si makosa yako mwenyewe
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    wape talaka wote aende kijijini haiwezekani bana hata aibu hawana
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyenitoroka amerudi na mimba

    achana na huyo mwanamke akajifunze huko sio Mke huyo utakuwa huna akili za kiume kabisa kumrudisha ndani mtu Wa namba hiyo
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hataki kabisa tutumie Condom

    kuna mawili: 1.inawezekana huyo Dada ataka mimba kwa udinauvumba. 2.Pengine anataka akuambukize mdudu huyo
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Askari, natafuta mke (umri 23-24yrs)

    kama kweli we Askali basi umeingizwa na mjomba!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Marafiki wa kuchart nao

    we we ni ke au me conferm
Back
Top Bottom