Recent content by bolingoli

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni mchambuzi gani bora wa michezo Tanzania?

    Jeff Leo ,, ali mayai
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nani anampa hii jeuri huyu kocha mrundi wa simba?

    Mpira wa bongo michosho tuuu me nashabkia majuu tuu ukuu shabikien nyiny anagalien msije mkajtundka vtanz
  3. B

    JamiiForums Tanzania Salute kwa Mkubwa Fella, Mungu atakulipa

    Toka nianze kusoma mbagala sec school sjaxkia kua mkubwa fella alsoma mbagala sec apa mkuu umetudanganya
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mabinti tazameni nguo za kuvaa kwenye nyumba za ibada

    Uyo bint ajui ayo maneno maana yake hana kosa nafkr angejua maana yake asingevaa pia uyoo aliempga pcha kanisan ni mpuuzi na mpumbavuu yy ayupo makin kanisan kuwaza neno la mungu anawaza kupga pcha watuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    Aisee Hawa watuu ni kucheza nao kwa akiri tuu me yamenkuta Bob demu anakuja kwako yuko pw kabsa anakusfia kchiz we xjui ndo mume Wang we xjui ndo nan mwsho wa xku kaolewa bla kunambia na akabadlsha lain aiseee toka sku iyoo spendii
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Ww kama kiongozi wetu,,,, wanachama wako wa CHAPUTA tunalaani na uamuzi uliochukua tunaomba rudi utuongoze jahaz letu maana bado wanachama tunakuitaji
  7. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Umetuangusha kwenye Kideo Cha "WakaWaka" Iga Alichofanya Nay wa Mitego

    Nalubaliana na ww mategemeo tulweka kua bonge la kchupa video imepooza kabxa. Bora ile ya haleluah hii video ya sasa mond kachemsha aisee
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa mwanaume kushindwa kumiliki gari

    Braza nyumba ndo heshma jenga nyumba zako mbil au tatuu tuu znatosha ayoo magar skuiz ata mtt kazaliwa Leo analo
Back
Top Bottom