Recent content by boku

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Ikulu mtaisikia maishani mwenu kwa akili za pumba kama hizo mnakazi sana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Kuna watu waliitisha press conference ooh, cjui tutashitakiwa na acacia kumbe wamepewa fedha na acacia ili wawasemeee angalieni leo acacia wamemfukuza kazi kiongozi wa juu kwa kuisababishia hasara kampuni. Hivi kweli msomi unanunuliwa kama nyapu na kunatumika kuiangamiza nchi yako na kizazi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Hata ngiri huwa anaelewa kuwa anakimbizwa na simba ila anafika mahali anasahau kuwa alikuwa anafanya nini mwishowe anarudi kule alikotoka ndipo anakamatwa na simba kilaini.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mapya na Mengi Kuhusu Ndege ya Tanzania Iliyozuiliwa Huko Canada

    Mulize mleta mada aliyeandika upuuzi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa kisasa wa ndege Chato unaendelea vizuri

    Nyie veeepi acheni kuwa kama wanawake wa jikoni so nyie mnataka sis wa mkoa wa Geita tusipate kiwanja cha ndege. Mbona moshi kuna lami hadi chooni hatuongei. Mtapasuka na bado.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

    Nimezunguka mikoani cjaona mahali pameandikwa dawa ya kuongeza nguvu za kiume ila dar zimejaaa kibao kila kona kwa wale wenye mataitizo ya nguvu za kiume kwanini?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Ni rahisi kufanya biashara(uwekezaji) Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi kuliko Tanzania

    Korea ya kaskazini wapo sawa kabisa lakini benki ya dunia imewawekea vikwazo japo wanatetea maslahi ya wakorea. So WB ni wanafiki sana ikiwa unasimamia sheria vizur ukawa unawabana wasipate maslahi yao basi wewe haufai kwa uwekezaji.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    Ccm ipo ngangari sema kina nyalandu walikuwa wanataka maisha ya umalaya sasa ***** hapa kazi tu hatunaga masihara na hizo mambo. Pole yako nyalandu. Turudishie ulivytuibia kipindi ulipo waziri.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Uchimbaji gesi ya Statoil yasema inafikiria kusitisha uwekezaji wake TZ, serikali imeibadilishia gia angani

    Kama vipi waondoke China are there waiting, Russia too. Ukisusa wenzako wanakula
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mambo haya ni mazito na Msikimbile kuwa na hasira, kwani hasira hasara

    Kibaraka utasubiri sana. Naona bado wanaendelea kukutuma uwasemeee.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu

    Sio kwa chadema ya mtei na mbowe.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli mdhibiti Lukuvi vinginevyo sisi wananchi tutamdhibiti

    Kwa waliodhulumu viwanja mjiandae.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Cdm mnaakili ndogo kama kuku kwani Acacia ndo nani. Acacia wamepangishiwa mgodi na Barrick na sio vinginevyo so Barrick can decide anything on the terms agreed na ndo maana hukuwaona wawakilishi wa acacia kwenye mazungumzo. Acheni kuwa vibaraka wa wazungu ambao wao wanapenda kutuona tukigombana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Biashara: Nakumatt tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam yafungwa kisa kushindwa kulipa kodi

    Hahahahaha hao ndo wakenya wazee wakujisifu. Hawanaga jipya warudi kwao.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa ACACIA wazidi kushuka, hisa nazo zaporomoka kwa 50%

    Fear is ur own enemy. Wazungu huwa wanapenda sana unyonyaji na udanganyifu ukifanya jambo baya mwafrika bas watasema dunia nzima itajua ila mzungu akifanya bahati mbaya. Waache usenge kama vipi waondoke
Back
Top Bottom