Kama ningekuwa miongoni mwa wajumbe la bunge la katiba ningeshauri kama ifuatavyo, kiukwel nimeona wajumbe wengi bado hawajaielewa rasimu kwasababu hata kama wana discuss kuhusu ardhi, haki za wanawake, ajira bila kujua mfumo wa utawala utakao yasimamia hayo mambo itakuwa shida ukiangalia swala...
Kiukwel mie nahisi watanzania tunahitaji elimu sana kuondoa mgando wa fikra, tunawezaje kuwa na wasomi ambao wanabailika badilika katika mawazo yao ambayo wameyaandika katika vitabu vyao mbalimbali? kiukwel mie kama mwanafunzi sijui nijifunze nini kutoka kwa hawa ma prof na ma dr ambao wanatuasa...
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Livingstone
Middle Name:
Joseph
Last Name:
Lusinde
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mtera
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 50, Dodoma
Office Phone:
+255 755...
Ila kiukwel prof. muhongo alivyofanya sio fair yan kutaka kusoma matokeo ya ole sendeka ya kidato cha nne mbele ya bunge kiukwel hili ni bonge la dharau, najua kuna wa2 wamejaliwa uwezo wa akili lakin haijafikia ha2a kama aliyoifanya prof.
Ila kiukwel prof. muhongo alivyofanya sio fair yan kutaka kusoma matokeo ya ole sendeka ya kidato cha nne mbele ya bunge kiukwel hili ni bonge la dharau, najua kuna wa2 wamejaliwa uwezo wa akili lakin haijafikia ha2a kama aliyoifanya prof.
Ni kweli kabisa maneno aliyoongea nape hata mimi mwenyewe hayajanifurahisha hata kidogo. Narudia japokuwa sio mfuasi wa chama chochote lakini nape anaposema mboye alienda Nairobi akapewa hela za kufanya mkutano kibanda maiti Zanzibar akatoa hela baadhi nyingine akaziweka mfukoni na kumtaka mboye...
Na declare interest mie sio mfuasi wa chama chochote tanzania ila kwa maneno haya ya nape ni kweli ccm wamedhamilia kuwamaliza kabisa ukawa na hizi zinaitwa siasa za maji taka, kwa sababu ukishatoa maneno ambayo yatazua mafarakano kati ya dr slaa, mbatia, mboye, katibu mkuu wa nccr mageuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.