Recent content by Bokera

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa vituko: Salum Mwalimu wa ubwabwa kushindana na Rais Samia

    Kituko sanaaaa, mpina yupo sawa ila Act si ya
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tulizani ni binadamu wenzetu kumbe baadhi yao ni wanyama kiasi hiki? Sakata la Gwajima limefunua roho mbaya za watu

    Nashndwa niandike nn. Ila viongozi ni wabinafsi na wametudharau Hadi mwisho raia. Hadi nawaza Bora tusingekua na mfumo wa kuongozana Kila mtu aishi kivyake ila matatizo ya kijamii yatatuliwe na jamii husika mf familia, ukoo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Bora tu simba hatujachukua kombe

    Nampongeza mama kwa ushindi wa simba
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dawa ya maumivu ya Magoti baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa maafisa wa polisi

    Kwamba ule msemo 'wanaokwenda jela sio wote wanahatia' huuamini. Sijui mdau alikosea nn ila maoni yako yamevuka mno.
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupata Mtoto Bila Ndoa: Utamaduni Wetu Unapoteza Mwelekeo?

    Mhimu basi tuone watu wanazaa mtoto wakiwa tayari wanaishi pamoja kuliko mwanamke kuzaa akiwa kwa wazazi wake
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Azizi Ki aliona jiwe akipiga penati

    Au wampe Mzee kilomoni maana nae aliporwa timu
  7. B

    JamiiForums Tanzania "In God We Trust" msingi wa Taifa la Marekani

    Hv ndio hao marais walokole waliokoleza unyanyasaji wa watu weusi amba ni uzao wa watumwa? Ndo hao waliwaua viongozi wa watu weusi waliopigania haki za wenzao?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

    Ni shekhe wa mkoa wa daresamu, anaitwa walidi na ndiye aliyemsilimisha clement mzize Hadi kuchukua na jina
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kutaka kutembelea kaburi la Hayati Magufuli ni unafiki uliopitiliza

    Aende tu, ukweli mpaka Sasa maendeleo makubwa ya nchi mf bwawa la mwal Nyerere, tren ya mwendokasi, ndege, hospital kubwa ni ukumbusho wa wa maono na msukumo wa JPM, NB SIJAMZUIA MTU KUMCHUKIA.... Je ni raisi yupi ambae serikali yake haikua na shutuma za mauaji na watu kupotea ? Mkapa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Zijuwe koo za Simba

    Mkuu anafatilia mambo ya ndani kabsa kujua kama wamejamiiana au la?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Zijuwe koo za Simba

    Sasa hao wakuu wa koo si wanakua wanandoa? Wanapojamiiana kuunganisha koo zao wanakua wanaziasi ndoa zao[kuchepka]. Umesema Wengi wa viongozi ni wakike je ni nn kinafanyika kwamba huku atoke wa like na kule wakiume ndo amnufaike?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Daah shukran sana ndo namaliza kusoma hapa ulipoishia alfajir hii, napata funzo kubwa sana kuhusu ulimwengu usioonekana. Naamini kabisa hasa kulingana na uzoefu wa nloyapitia mpaka Sasa. Nakusubir
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?

    Wakushika nchi Sasa ndo wananjaa zaidi Hadi washibe ni miaka ya xxm. unaoonekana ni mbadala hauaminiki
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274

    Kweli sijui wanapoteleaga wapi labda watuonyeshe matunda ya taifa hasa walipopita watu mashuhuri kama tl na fk
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Nape Nnauye apewe tuzo ya Uzalendo

    Nadhani Kuna haja kuwekwa utaratibu mzuri wa kukabidhi ofisi na Mali za ofisi.
Back
Top Bottom