Ni
Nipo dar mzee kuhusu kufanya biashara mm binafsi bado ila nimeishawah kusimamia biashara na kuhusu changamoto zipo nyingi katika jamii zetu za kitanzania na hazitofautiani sana kwenye maeneo mengi zinafanana
Wakuu poleni na majukumu ya kutwa ya leo nilikuwa naomba msaada wa mawazo na ushauri wenu nina laki 7 nifanye biashara ipi ambayo nitatoka msaada please
wakuu mbna mmetoka nje ya maada mwenzetu ametaka tueleze ni kwa namna gani kati yetu walioajiriwa walivyopata kazi,ila watu wamehama kwenye maada wamekomaa na ishu ya kuliwa mzigo kwa dada fulan mwanamke kuliwa mzgo kawaida tu ,,turudini kwenye maada husika
Huko juu watu wanazidi kuula tu mtu ana vitengo kibao ila anaongezewa vingine duuh magumashi amesahau kama kuna batch 3 ziko mtaani huu mwaka wa tatu serikali haiajiri,,mm mwenyewe ni mhanga ila nawaonea sana huruma walimu walomaliza vyuo wako mtaani
kwa hili kurugenzi ya habari ikulu imechelewa kutoa tamko kwamba habari zilizogaa mitandaon kuwa spika wa bunge atafanya mkutano na waandishi wa habari sio za kweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.