Msaada wa ushauri Nina mtaji nifanye biashara ipi wakuu

BOJAN BOJO

Member
Jul 11, 2013
10
45
Wakuu poleni na majukumu ya kutwa ya leo nilikuwa naomba msaada wa mawazo na ushauri wenu nina laki 7 nifanye biashara ipi ambayo nitatoka msaada please
 
Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,958
2,000
Uko wapi?

Umewahi kufanya biashara?

Unapokaa kuna changamoto ipi kijamii ambayo unaweza kuitatua kwa pesa hiyo kibiashara?

Jibu hayo maswali kwanza.
 
BOJAN BOJO

Member
Jul 11, 2013
10
45
Ni
Uko wapi?

Umewahi kufanya biashara?

Unapokaa kuna changamoto ipi kijamii ambayo unaweza kuitatua kwa pesa hiyo kibiashara?

Jibu hayo maswali kwanza.
Nipo dar mzee kuhusu kufanya biashara mm binafsi bado ila nimeishawah kusimamia biashara na kuhusu changamoto zipo nyingi katika jamii zetu za kitanzania na hazitofautiani sana kwenye maeneo mengi zinafanana
 
Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,958
2,000
Ni

Nipo dar mzee kuhusu kufanya biashara mm binafsi bado ila nimeishawah kusimamia biashara na kuhusu changamoto zipo nyingi katika jamii zetu za kitanzania na hazitofautiani sana kwenye maeneo mengi zinafanana
Hapo Dar umegundua fursa gani ambayo unaona wazi kuwa ukiwekeza utapata.
 
Official samir

New Member
Oct 23, 2017
3
45
Ni

Nipo dar mzee kuhusu kufanya biashara mm binafsi bado ila nimeishawah kusimamia biashara na kuhusu changamoto zipo nyingi katika jamii zetu za kitanzania na hazitofautiani sana kwenye maeneo mengi zinafanana
au nakushauri anza kufuga kuku
 
GwaB

JF-Expert Member
Mar 19, 2014
1,533
2,000
Kwa kuwa hujapata wazo la biashara, tafuta watu walio na wazo lenye tija uwakopeshe.
 
Claret

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
705
1,000
Wakuu poleni na majukumu ya kutwa ya leo nilikuwa naomba msaada wa mawazo na ushauri wenu nina laki 7 nifanye biashara ipi ambayo nitatoka msaada please
Mkuu yaani na logo yote hiyo ya Chuo cha Uhasibu Arusha umeshindwa kuipangia biashara laki 7? Usidhalilishe chuo chetu arifu.
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,131
2,000
Nguo/viatu/Redio+Kitambulisho cha machinga ingia mtaani uzungushe biashara

au

Kachukue gunia la vitunguu/viazi mwaga barabarani.Hiz ni biahara ndogo ndogo ila zina hela sanaaa
 
Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,131
2,000
Fanya biashara ya kuuza matunda
AU
Fuga kuku (iwapo utapata eneo)
AU
Fungua mgahawa.
AU
Kauze mifuko ya plastic dadeki.
 
Amanikullaya

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,086
2,000
Kuhusu KUKU usijaribu ,Nimefuga kama Mara saba KUKU tofauti ila kiukweli ukiandika Gharama Hawalipi.

Nakushauri Mitumba Hasa Nguo za Watoto piga viubao tundika kama una wife Ashinde hapo ,unachagua kalikali Wewe tembeza mitaani
Au Matunda na Viungo vya Chakula

Heshimu kazi yako na kipato chako,usimwangalie Mtu Usoni au kuona aibu utatoka .Mtumba unalipa zaidi nje ya Dar
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom