Ulipataje kazi yako

Ulipataje kazi yako

wakuu mbna mmetoka nje ya maada mwenzetu ametaka tueleze ni kwa namna gani kati yetu walioajiriwa walivyopata kazi,ila watu wamehama kwenye maada wamekomaa na ishu ya kuliwa mzigo kwa dada fulan mwanamke kuliwa mzgo kawaida tu ,,turudini kwenye maada husika
 
Labda hawajatoka nje ya mada mkuu, maana wanasema wengine waliliwa mzigo ndo wakapata ajira zao....najaribu kuwaza kwa sauti tu!
 
Mimi nina uzoefu mwingi katika swala zima la kutafuta Ajira, mbinu nyingine ni za kawaida/haki zingine ni za haramu. Na kuna wengi nimewasaidia either kwa ushauri tu kwa kuzingatia ABCD nilizowapa. Currently, mbinu ninayotumia kupata Kazi ni kuonana na mtoa kazi/bosi/mwajiri....sio CV, Portfolio, Uzoefu au Barua ndefu...changamoto yake ni Mapokezi/Reception/Walinzi, wengi watakuzuia ati hadu uwe na appointment na mtu unayetaka kumuona...

.lakini nikishavukaga hicho kipengele, ole mwajiri nimtie machoni na nishushe madini....HANIACHI NA KESHO YAKE HUWA NAANZA KAZI. Kwahiyo mbinu hii huwa naiita ni Siraha ya Kisaikolojia, Saikolojia ambayo nimeivuna kwa miaka kama 4 hivi ya utafutaji kazi. Yaani siku hizi hata huwa sisomi maswali mapya ambayo HR huwa wanagoogle na kuniandalia, au kubabaika na walivyojipanga....yaani kabla hajamaliza swali, tayari jibu ninalo ambalo litamoderate swali lake la pili!!!! patamu hapo.....so kazi nyingi huwa nazikosa either kwasababu ya formality tu, yaani tayari wana mtu wao lakini ukiondoam watasemezana " dah...hiki kichwa kilistahili kuwa hapa sema ndo ivyo mtoto wa bosi hana kazi!"

Pamoja mbinu hiyo, huwa nina hakikisha document zote zipo ready, yaani CV, barua, vyeti, recommendation letters, referrees (ambao mara nyingi huwa ni washkaji zangu ambao nimeshawalisha madini. maana ndugu au waajiri waliopita wameshachoka kila siku kusumbuliwa). Marafiki huwa nina wapanga "eb bhana ee, ni aje ninja wangu, utapigiwa simu na HR, mwambie Nyankunde namjua ni mchapa kazi, mpeni kazi...siwezi kuongea sana kwa sasa maana nipo kwenye Kikao!" mchezo kwisha.

Njia ya tatu ni haramu, but nani ambae sio haramu kwasasa?? NANI???....kila kitu ni feki. Nina dokta rafiki yangu na hata juzi alionekana kwa TV akinadi product zake, sasa nilipokuwa namfanyia kazi yake akasema" hivi km mkuu wa mkoa an vyeti vyeki lakini ameweza kuwa mkuu wa mkoa, kwanini mm nishindwe kuwa dokta??!!.....nilicheka sana, na nilitafakari kwa jicho la 3.

Nnjia hii inapita kwenye uvuvio huohuo niliouchanganua hapo juu japo sifa yake kubwa ni "Confidence", yaani ni sawa sawa na kufanya kosa lakini bado ujione mwenye haki na unastahili...yaani kile kitu kinaitwa dhambi/uongo/guilty/karma uone ni kama miradi ya wapiga dili tu lakini hizo vitu havipo (thi is my current mentality of course). Njia hii ni VYETI FEKI. yaani unamktuta mtu ana uzoefu na kazi flani, au graduate wa form six mwenye uwezo kabisa wa kufundisha watoto wa Secondary kwenye International School....ila kwakuwa hana vyeti vya ngazi za juu, mavyeti ya recognition, recommendation letters n.k., ataishia kupauka tu.

Sasa mimi nilisolve swala hilo kwa kujifunza Graphic Design/Digital Imaging, nikiri tu wazi hadi sasa kuna watu wapo kwenye ajira na wananizidi hela kwasababu nilispend the whole night to just get that IFM Certificate right just like the original one! na ndio wanaoniweka mjini maana nina siri zao. Sasa utaniuliza; vipi kuhusu NECTA, coz jina lazima liwe kwenye sytem yao n.k.....au vyeti vya siku hizi vinatoka na passport size....!! Hii siri siitoi, madude mengine ntashusha siku ingine.

Kufoji vyeti sipendi ila ni njaa tu wandugu, ila kwasasa nimeridhika na ajira niliyonayo. Ila WARNING KWA WANAFUNZI WA VYUO: acheni kusccan vyeti vyenu kwenye stationary zilizo karibu na Vyuo vyenu, watu huwa tunakuja na vifrash vyetu tulivyoagiza kutoka India, nikiingia pale nanyonya data za Stationary nzima *****....nikrudi gheto najichagulia jina zuri hahahaha!....hii ni mojawapo tu ya mbinu ya watu KASOMEA JINA HILI, KAAJIRIWA KWA JINA HILI...kumbe aliwaona wataalamu hahahah!

Pia nyie NECTA na viportal vyenu vya kuverify nyaraka, zuieni Mirroring za Portal zenu.

#I'mOut
Aiseeee
 
Mimi katika uzoefu Wangu nimeona kitu kinachowaangusha watu kwenye maombi na kupata kazi ni vitu vikubwa viwili.

1. Watu wamekua wakitengeneza CV ki mazoea bila kuangalia ushindani pamoja na nafasi unayoomba...MTU unamkuta anavyeti vizuri sana ila format ya CV imekaa hovyohovyo tu au amenakili ya mwezie kwa kuedit na makosa mengi madogo madogo.

2. Watu wanakosa kazi wakati wa Usaili kwa sababu ya kupanik na huko usababishwa na hofu ya kukosa hiyo nafasi kwa sababu Muda huo hauna kazi ya kufanya yaani hofu imekujaa sana na uoni tena dalili ya kupata kazi mbeleni.

Mapendekezo yangu.
1. Kwanza tambua kua tupo kwenye mashindano na ushindani ni mkubwa sana.

2. Ondoa nadharia kichwani kua pale mlipoitwa kwenye usaili kuna watu wapo juu zaidi yako kisa unamjua tokea mnasoma huko nyuma...yawezekana alishabweteka sana.

3. Jaribu kua makini unapoandaa wasifu wako yaani CV na barua ya maombi..andika CV yako uithathmini we we kwanza na kuipa maksi kabla ya Mwingine kuithathmini itakusaidia sana.

4. Zuia sana hofu ya kuwaza nikikosa hii nafasi itakuaje jamani! kwani itakuchangia kupanik sana kwenye mahojiano.

5. Naomba wadau msaidie vijana wenzangu hapa kwenye Application letter.. Mimi nimejaribu kuangalia faida ya MTU kuandika jina lake, umri wake, jinsia, adi na chuo alichosoma kwenye barua ya maombi ya kazi wakati tayari alishayaandika kwenye CV badala ya kuelezea dhima na kusudio ya kuomba kazi hiyo.

Nilijaribu sana kuangalia na kufanyia kazi vitu hivyo kwakweli nimekua nikipata kazi sehemu nyingi adi nachagua tu panaponifurahisha zaidi.

Ni mawazo yangu lakini
 
haha anaota nilitafutiwa na na bibie mmoja niliyefanyanaye kazi japo huko nyuma tulikorofishana lakini akanisaidia baada ya kuona nimepigika ,,,,,,,,,, katika kampuni yoyote ninayofanya kazi sitoi uchi... ni chanzo cha kunyanyaswa na kufukuzwa muda wowotw wanaotaka

by the wway anayenila mzigo yumo humu humu jf hahaha
Aiseee
 
Nasubiri nione njia mlizopitia wenzangu huenda na mm nkajifunza kitu

Kutafuta kazi kuna vunja moyo,,bora hata waniite kwny interview niseme nlishindwa mwenyew ila siitwi..

I dream to be a lecturer n I thank God GPA yangu inaniruhusu.
Area of profession-Accountancy.
Lecture wanaangalia vgezo vng mno, jarib kutafta assistance accountant
 
Sijawahi kuapply ndo maana sijapata
G.P.A ninayo..I mean it!!!
Najua wanachukua 3.8 and above
Una elimu ya kiwango gani? Nadhani unaweza fanya hivi
1: Kama hujamasoma mastaz tafuta chuo, jiunge kusomea acountancy huku ukifanya vizuri darasan, kwenye mijadala na ukitengeneza network vizuri chuoni hapo. Ni rahisi zaidi chuo kukubakisha hasa kama utakuwa ulisoma kwao, ikiwezekana kweye chuo ulichosomea degree yako ya kwanza ingekurahisishia zaidi.
Ama;

2: Tafuta/ vyuo vya private kisha najiribu kuomba nafasi ya part time, ikishindikana jitolee kidogo hapo utajenga network na uzoefu ambavyo vitakusaidia one day. Fika mwenyewe kwenye chuo husika, ukiwa na document zako zote na omba kuonana na wahusika wa kuu kisha jieleze vizuri. Usipeleke tu barua ukasubiri kuitwa, unaweza usiitwe kabisaaaa.
Kila la kheri.
 
haha anaota nilitafutiwa na na bibie mmoja niliyefanyanaye kazi japo huko nyuma tulikorofishana lakini akanisaidia baada ya kuona nimepigika ,,,,,,,,,, katika kampuni yoyote ninayofanya kazi sitoi uchi... ni chanzo cha kunyanyaswa na kufukuzwa muda wowotw wanaotaka

by the wway anayenila mzigo yumo humu humu jf hahaha
Kumbe we mwanamke, unaliwa hahahaha
 
Una elimu ya kiwango gani? Nadhani unaweza fanya hivi
1: Kama hujamasoma mastaz tafuta chuo, jiunge kusomea acountancy huku ukifanya vizuri darasan, kwenye mijadala na ukitengeneza network vizuri chuoni hapo. Ni rahisi zaidi chuo kukubakisha hasa kama utakuwa ulisoma kwao, ikiwezekana kweye chuo ulichosomea degree yako ya kwanza ingekurahisishia zaidi.
Ama;

2: Tafuta/ vyuo vya private kisha najiribu kuomba nafasi ya part time, ikishindikana jitolee kidogo hapo utajenga network na uzoefu ambavyo vitakusaidia one day. Fika mwenyewe kwenye chuo husika, ukiwa na document zako zote na omba kuonana na wahusika wa kuu kisha jieleze vizuri. Usipeleke tu barua ukasubiri kuitwa, unaweza usiitwe kabisaaaa.
Kila la kheri.
 
Ahsantee kwa ushauri..
Nahangaika na kitu kinaitwa CPA..
Masters budget ndefu kidogo..
Ntajaribu ku-implement ushauri wako..ila vyuoni wanaruhusu mtu kujitolea kweli?!
Nafikiri unafanya jombo zuri zaidi. CPA ni muhimu sana kwa watu wa taaluma hiyo. Kwahiyo endelea tu bila shaka itafungua milango mingi zaidi.

Kuhusu kujitole ni kweli kuwa ni ngumu kwa vyuo ambavyo ni well established, na vyuo vya umma pia haiwezekani kabisa. Ila nilikuwa naongelea hivi vyuo vidogo vidogo ambavyo vingi vina kozi za cheti kwenye mambo ya acountancy. Lengo lilikuwa kupata nafasi ya kujifunza zaidi, kuendelea kukumbuka vitu ulivosoma degree ya kwanza, kujenga mtandao unaoweza kukusaidia kwenye kufikia malengo yako pamoja na kupata uzoefu wa kufundisha ili kuwa na sifa ya ziada pale zinapotokea fursa.

Hata hivyo kwakuwa unafanya CPA nadhani hapo pia unakutana na watu mablimbali ambao wanaweza kukupa chaneli pia, kwahiyo jenga mtandao hapo pia. Unaweza pia kujikuta unafundisha CPA kwa wengine baada ya wewe kumaliza hapo, kwahiyo pambana tu utafanikiwa.
Kila la kheri
 
Mimi nina uzoefu mwingi katika swala zima la kutafuta Ajira, mbinu nyingine ni za kawaida/haki zingine ni za haramu. Na kuna wengi nimewasaidia either kwa ushauri tu kwa kuzingatia ABCD nilizowapa. Currently, mbinu ninayotumia kupata Kazi ni kuonana na mtoa kazi/bosi/mwajiri....sio CV, Portfolio, Uzoefu au Barua ndefu...changamoto yake ni Mapokezi/Reception/Walinzi, wengi watakuzuia ati hadu uwe na appointment na mtu unayetaka kumuona...

.lakini nikishavukaga hicho kipengele, ole mwajiri nimtie machoni na nishushe madini....HANIACHI NA KESHO YAKE HUWA NAANZA KAZI. Kwahiyo mbinu hii huwa naiita ni Siraha ya Kisaikolojia, Saikolojia ambayo nimeivuna kwa miaka kama 4 hivi ya utafutaji kazi. Yaani siku hizi hata huwa sisomi maswali mapya ambayo HR huwa wanagoogle na kuniandalia, au kubabaika na walivyojipanga....yaani kabla hajamaliza swali, tayari jibu ninalo ambalo litamoderate swali lake la pili!!!! patamu hapo.....so kazi nyingi huwa nazikosa either kwasababu ya formality tu, yaani tayari wana mtu wao lakini ukiondoam watasemezana " dah...hiki kichwa kilistahili kuwa hapa sema ndo ivyo mtoto wa bosi hana kazi!"

Pamoja mbinu hiyo, huwa nina hakikisha document zote zipo ready, yaani CV, barua, vyeti, recommendation letters, referrees (ambao mara nyingi huwa ni washkaji zangu ambao nimeshawalisha madini. maana ndugu au waajiri waliopita wameshachoka kila siku kusumbuliwa). Marafiki huwa nina wapanga "eb bhana ee, ni aje ninja wangu, utapigiwa simu na HR, mwambie Nyankunde namjua ni mchapa kazi, mpeni kazi...siwezi kuongea sana kwa sasa maana nipo kwenye Kikao!" mchezo kwisha.

Njia ya tatu ni haramu, but nani ambae sio haramu kwasasa?? NANI???....kila kitu ni feki. Nina dokta rafiki yangu na hata juzi alionekana kwa TV akinadi product zake, sasa nilipokuwa namfanyia kazi yake akasema" hivi km mkuu wa mkoa an vyeti vyeki lakini ameweza kuwa mkuu wa mkoa, kwanini mm nishindwe kuwa dokta??!!.....nilicheka sana, na nilitafakari kwa jicho la 3.

Nnjia hii inapita kwenye uvuvio huohuo niliouchanganua hapo juu japo sifa yake kubwa ni "Confidence", yaani ni sawa sawa na kufanya kosa lakini bado ujione mwenye haki na unastahili...yaani kile kitu kinaitwa dhambi/uongo/guilty/karma uone ni kama miradi ya wapiga dili tu lakini hizo vitu havipo (thi is my current mentality of course). Njia hii ni VYETI FEKI. yaani unamktuta mtu ana uzoefu na kazi flani, au graduate wa form six mwenye uwezo kabisa wa kufundisha watoto wa Secondary kwenye International School....ila kwakuwa hana vyeti vya ngazi za juu, mavyeti ya recognition, recommendation letters n.k., ataishia kupauka tu.

Sasa mimi nilisolve swala hilo kwa kujifunza Graphic Design/Digital Imaging, nikiri tu wazi hadi sasa kuna watu wapo kwenye ajira na wananizidi hela kwasababu nilispend the whole night to just get that IFM Certificate right just like the original one! na ndio wanaoniweka mjini maana nina siri zao. Sasa utaniuliza; vipi kuhusu NECTA, coz jina lazima liwe kwenye sytem yao n.k.....au vyeti vya siku hizi vinatoka na passport size....!! Hii siri siitoi, madude mengine ntashusha siku ingine.

Kufoji vyeti sipendi ila ni njaa tu wandugu, ila kwasasa nimeridhika na ajira niliyonayo. Ila WARNING KWA WANAFUNZI WA VYUO: acheni kusccan vyeti vyenu kwenye stationary zilizo karibu na Vyuo vyenu, watu huwa tunakuja na vifrash vyetu tulivyoagiza kutoka India, nikiingia pale nanyonya data za Stationary nzima *****....nikrudi gheto najichagulia jina zuri hahahaha!....hii ni mojawapo tu ya mbinu ya watu KASOMEA JINA HILI, KAAJIRIWA KWA JINA HILI...kumbe aliwaona wataalamu hahahah!

Pia nyie NECTA na viportal vyenu vya kuverify nyaraka, zuieni Mirroring za Portal zenu.

#I'mOut
Acha niwe Bashite kwa kuquote uzi wote kaka upo vizurii iko poa tutaongea pm
 
Kaka nimekuelewa sana ngoja niingie machimbo only job here!!!!
 
Nafikiri unafanya jombo zuri zaidi. CPA ni muhimu sana kwa watu wa taaluma hiyo. Kwahiyo endelea tu bila shaka itafungua milango mingi zaidi.

Kuhusu kujitole ni kweli kuwa ni ngumu kwa vyuo ambavyo ni well established, na vyuo vya umma pia haiwezekani kabisa. Ila nilikuwa naongelea hivi vyuo vidogo vidogo ambavyo vingi vina kozi za cheti kwenye mambo ya acountancy. Lengo lilikuwa kupata nafasi ya kujifunza zaidi, kuendelea kukumbuka vitu ulivosoma degree ya kwanza, kujenga mtandao unaoweza kukusaidia kwenye kufikia malengo yako pamoja na kupata uzoefu wa kufundisha ili kuwa na sifa ya ziada pale zinapotokea fursa.

Hata hivyo kwakuwa unafanya CPA nadhani hapo pia unakutana na watu mablimbali ambao wanaweza kukupa chaneli pia, kwahiyo jenga mtandao hapo pia. Unaweza pia kujikuta unafundisha CPA kwa wengine baada ya wewe kumaliza hapo, kwahiyo pambana tu utafanikiwa.
Kila la kheri
Anhaa ni hivi vyuo vidogo,,okay..
Ntalishughulikia hilo..I wish nifundishe kwanza naweza,second nataka kua free na mambo mengine..
Okay nashkuru sanaaa..!
 
Back
Top Bottom