jimani
Member
- Apr 15, 2017
- 8
- 10
Mimi ni kijana wa kiume miaka 29 ninaishi Dar es salaam nimesomea degree ya Procurement and logistic management,sijawahi kufanya kazi sehemu yoyote na nimehangaika sana kutafuta kazi lkn sijafanikiwa. Nimekuja kwenu leo hii kuomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata kazi ama kuniajiri kwa kazi yoyote ile iliyokuwa ya halali na nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote. Mungu awabariki sana kwa utayari wenu.
Contact 0625580720
Contact 0625580720