Recent content by Boeing787-8

  1. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Utaenda na nani kati ya Hawa?

    😁😁😁😁
  2. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Utaenda na nani kati ya Hawa?

    Soma tena
  3. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Utaenda na nani kati ya Hawa?

    Kuna two candidates Candidate A Ana elimu ya chuo Ameajiliwa na serikali Sio mchangamfu Shape kawaida Mfupi na mweusi Kipato kizuri Unamkubali 50% Candidate B Elimu kidato Cha 4 Mdogo kiumri kuliko candidate A Anafanya bihashara ndogondogo Mchangamfu Mweupe Mrefu ana shape Kipato kidogo sana...
  4. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mwalimu mwenye Degree kuhama kutoka halmashauri(shuleni) kwenda NECTA, TIE, NACTVET etc....?

    Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa nikiona matangazo ya kazi uko ajira portal, lakini nkitaka kuomba mfumo unakataa Kwa sababu Nina...
  5. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Ndege ghali za kivita za Marekani sasa zaanza kuangushwa Iran

    Yaani zikose soko, ulaya yoooote,Japan,South Korea,Saudia, Qatar, Bahrain,UAE, Brazil, mexico woooote 90% ya air force zao ni ndege za marekani. Usichokijua kitendo Cha ndege zake kupigana kwenye vita ni faida kwake anajua strength and weakness. NATO Japan South Korea wanalilia Kila siku...
  6. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Wagombea Urais kutoka Vyama 16 baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Ila Chadema ni dude kubwa yaani walisusia uchaguzi na uchaguzi ukaingia dosari
  7. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama demands zetu hazitotimia kwenye D9, tutakuja na J12

    Uko USA unatuchafulia nchi
  8. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Hatari saaana
  9. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni sahihi mjumbe wa nyumba kumi kunifuata nyumbani siku ya uchaguzi tuongozane naye kituo cha kura?

    Kuna jirani Yangu kasema balozi ajichanye amgongee mlango
  10. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Dada anajikuta sana, hana kipaji cha kuongoza, anatukana Hadi watu wazima, useless DED
  11. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Kuna Wana walichukuliwa hawajawai onekana
  12. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Hii halmashauri hapana aisee Ata DED wake Rose ni majanga anajua vitisho tu
  13. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Humu Hadi jobless wapo
Back
Top Bottom