Recent content by Boeing 757

  1. Boeing 757

    Wimbi la vijana kuachwa ghafla katika nusu ya pili ya 2020

    Tumemuacha Mungu na kufuata akili na fikra zetu zilizopotoka .
  2. Boeing 757

    Mimi ni mtu wa aina gani?

    Na mara nyingi huwa tunaishi ndani ya akili zetu tofauti na dunia ya nje ....sema cha msingi ni kujikubali tu ndugu no matter what.
  3. Boeing 757

    Mimi ni mtu wa aina gani?

    Dah tupo wengi sana ...kiasi kwamba chuoni wananiona mbinafsi mwenye majivuno na n.k.ila ndio hivyo ndugu we are introvert na jamii huwa inatuchukulia negative sana
  4. Boeing 757

    Tulio single tujuane

    Kabisa yaani mkuu .wengine kejeli na vijembe kwamba naogopa wanawake na mambo kibao..lakini sawa hata kama nawaogopa pengine inachangia ila sijawahi kujutia
  5. Boeing 757

    Wanachuo waheshimiwe...

    Sema nini... Mavazi ya hovyo ya mwanamke huwa yanawashusha thamani sana mbele ya jamii haswa ya wanaume... Sasa mfano unakuta mwanchuo kavaa dela na wala si mjamzito ..kama sio umalaya ni nini
  6. Boeing 757

    GE2020 Kwanini tusiichague tena CCM?

    Vipi dogo wako mlipatana ... maana alikuwa anakuchukia kisa unaipenda ccm [emoji2960][emoji2960]
  7. Boeing 757

    Tulio single tujuane

    Sema ukiwa chuo halafu upo single unaonekana mshamba sana... Anyway acha tu niwe mshamba.. zinaa na uasherati kamwe haukati kiu na tamaa za mwili
  8. Boeing 757

    Kadri utakavyoangalia picha hii ndivyo utakavyogundua matukio zaidi

    Asee Hii picha inafikirisha sana kuliko TUNAVYODHANI kwa kweli.
  9. Boeing 757

    Wadau wa JF naomba mnishauri kuhusu hii ndoto yangu

    Nimekupata mkuu wangu be blessed
  10. Boeing 757

    Wadau wa JF naomba mnishauri kuhusu hii ndoto yangu

    Asante mkuu kwa ushauri ..ila kuhusu kutamani mambo makubwa sio dhambi na kumbuka hiki ni kitu kilicho ndani ya damu na sijasukumwa na tamaa .
  11. Boeing 757

    Wadau wa JF naomba mnishauri kuhusu hii ndoto yangu

    Habari wana Jf , natumai nyote ni wazima japo kuna changamoto za hapa na pale tunakumbana nazo. Moja kwa moja acha niende kwenye maada. Tangu zamani nikiwa mdogo nilitamani kuwa rubani wa kurusha ndege. Kiukweli kutoka moyoni ni taaluma ninayoipenda sana hadi sasa na sio kutokana kwamba inalipa...
  12. Boeing 757

    GE2020 Mdogo wangu amenidharau kisa kusema sitamchagua Lissu

    Nimekuelewa Sana ndugu mwandishi... Fasihi classic Sana hii
Back
Top Bottom