Recent content by Bocho

  1. B

    Balozi Iddi akutana na Rais Magufuli leo, amhakikishia wanasubiri Tarehe ya Uchaguzi itangazwe

    Yaani kama huo uchaguzi uliopita umefutwa kwa sababu zilizotajwa na ZEC, sitegemei kama huo wanao uorganize utafanyika. Maana wale vijana wa CUF wakiingia mtaani siku ya uchaguzi mpya, itakuwa ni vumbi tu Unguja! Hata robo ya wapiga kura haitajitokeza. Kwamaneno mengine utakuwa worst kuliko huu...
  2. B

    Neno la Nyongeza: Wabaguzi Hawa au Wale?

    Ni upuuzi kujifanya mwanafalsafa kuficha ukweli hata katika mambo yaliyo wazi. Lengo lako mwadishi ni kutumia two wrongs kuhalalisha uovu. Hilo halipo, msitugawe kwa tofauti zetu mtatupeleka shimoni.
  3. B

    CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

    Kama ni kweli hilo bandiko la kuomba radhi ni sawa tu na mbunge kusema anachokiamini bungeni na kisha akalazimishwa kufuta kauli yake. Haimaanishi hamini alichokisema ila anatii tu amri ya speaker! ndivyo CCM wanavyofanya kama wameomba kweli radhi. Kuthibitisha hilo, pale Unguja karibu kabisa...
  4. B

    Fatma Karume: Maana ya Mapinduzi imepotea Zanzibar

    Tutaendelea kubaguliwa na kukaliwa kimabavu as long as tunapenda kwenda peponi lakini hatuko tayari kufa.
  5. B

    Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

    Hakuna askari anayelipwa na chama zaidi ya green guard! Mishahara ni kodi za wananchi. Piga kura upendapo.
  6. B

    Lowassa achukua fomu ya kugombea Urais; Tarehe 10 Agosti, 2015

    CCM is speechless. Hapasemeki hapo. Zaidi ya kusifu, utakachosema chochote utaonekana mwehu tu.
  7. B

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Angalizo: It is too risk kwa UKAWA kurudisha fomu siku ya deadline. Anything can happen.
  8. B

    GE2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    Haya maneno kama yako hivi katika moyo wako, ukombozi wa nchi hii uko karibu. Inatia moyo na matumaini. Kanyaga twende.
  9. B

    Kamundu Class 101: Benki ni kikwazo cha Maendeleo Tanzania. Je, tufanye nini kurekebisha?

    Serikali inapaswa kuiangalia sector ya benk kwa ukaribu sana ili kupunguza dhulma wanazofanyiwa watu wa hali ya chini. Central Bank ya Zambia baada ya kuona utitiri wa Microfinances ambazo pia zilikuwa zikicharge reckless interest rates, ilikuja na sheria ya kuweka upper limit ya interest...
  10. B

    Kutoka Uchaguzi wa CUF Zanzibar - Matokeo

    Mwaka huu kazi ipo. Hivi mnajua kwamba ZEK imeshagawa majimbo ya Zanzibar upya? CUF huenda wakarudia upigaji kura ktk baadhi ya majimbo kama vile mji mkongwe, Bububu na Mtoni. Pemba hali huenda ikawa tete zaidi maana majimbo huenda yakapungua by 3!
  11. B

    CCM yahoji Serikali ya Umoja Zanzibar

    CCM inawasomi waliomaliza madarasa lakini hawajaelimika! Kura ya maoni ambayo ilitakiwa ifanywe kwa wakati tulionao ni ya kuwauliza wanannchi wanataka mfumo wa serikali ngapi. SUK iwepo au isipokuwepo haiwezi kubadili msimamo wa viongozi wa upinzani Zanzibar na theluthi mbili ya kura bado...
  12. B

    Waislamu muleba wazuiwa kufanya mihadhara

    Ni PM namba yako nikutafute one on one. Usiku/ mchana mwema.
  13. B

    Waislamu muleba wazuiwa kufanya mihadhara

    Usiwe kama mtu aliyepatwa na mapepo twende kwa hoja. Nimekuuliza swai moja tu: Hebu nipe opinion yako kuhusu hii scandal ambayo imeendelea kuzungumzwa hadi jana kwenye main stream media: UN demands action from Vatican on child sex abuse | Al Jazeera America Kwanini kanisa linaficha ushahidi...
  14. B

    Waislamu muleba wazuiwa kufanya mihadhara

    Tuanze na hili la maelfu ya watoto waliofanyiwa ushenzi na viongozi wa kanisa. Kwanini Baba yenu mtakatifu anashindwa kutoa ushirikiano kwa UNITED NATIONS ili wahusika washughulikiwe. Hii ni current story sio hearsay. Munguwa kweli hawezi kutoa maagizo ya kumsupport muovu! Au wewe unasemaje...
  15. B

    Waislamu muleba wazuiwa kufanya mihadhara

    Hebu nipe opinion yako kuhusu hii scandal ambayo imeendelea kuzungumzwa hadi jana kwenye main stream media: UN demands action from Vatican on child sex abuse | Al Jazeera America Kwanini kanisa linaficha ushahidi wa vitendo vya kulawiti kama kweli ni dini ya mungu?
Back
Top Bottom