asante sana mkuu .Haya ni baadhi ya matoke ya uchaguzi kwa baadhi ya viti vya ubunge na uwakilishi uchaguzli ulifanyika leo. Rajab Mbarouk na Moh'd Ngwali wakionekana kuangushwa. nitakuwa natupia kila nipatapo results kamili
Ole Mbunge
Wakili
Sleman 105,
Rajabu Mbarouk Mohd 103,
Rashid Khamis 69
Wete Ubunge zote 233-
Mbarouk 131,
Seif 60 na
Mwadini 30.
(12) zimeharibika.
Ubunge ni hivi kwa mpendae.
Omar Mohd Omar 23
Sleiman Khamis Ali 19
Na Fakih Abdallah Pandu 9
Chake Chake Uwakilishi
Omar Ali Shehe - 106
Ali Bakar - 97
Mohd Subeit 27
Jimbo la Kiembe Samaki Mansour wapiga kura wote ni 37 , kura zilizoharibika 0 na alizopata 37 sawa na 100%
Mji Mkongwe Ubunge Mwalim Sanya 57, Mohammed Noor kura 29, na Ally Saleh Alberto kura 21
Jimbo ala Dimani Uwakilishi. Kura zote 132. Siba kura 4. Hemed Pilot kura 14. Khalid Gwiji kura 113
Chanzo Kikuu: Mimi mwenyewe
mkuu ally saleh huyu tunaemjua au??? na jussa vipi hajagombea???
Solution hapo ni kudai Tanganyika YETU tu. Ili na sisi tuwe na binge late ambalo tutaamulia mambo yetu yanayohusu TANGANYIKA. Dk SLAAA NJOO BABA UTUOKOE WANAO TUNAZAMA TUNAKUTEGEMEA WEWE BABA. HAYA MAGAMBA YAMESHINDWA MPAKA SASA YANAKIRI KWAMBA YAMESHINDWA. NJOO BABA WEWE NI SAWA NA MUSA,NJOO BABA NJOO TUKO PAMOJA NAWE.Kilaza. Unajua kule Zanzibar wanachaguwa wawakilishi wawili kwenye jumbo moja. Mmoja anakwenda bungeni na mwengine anakwenda katika baraza la wawakilishi Sasa Jussa yeye ni muwakilishi wa mji mkongwe na sio mbunge. Wakati wenzetu wa Zanzibar wana wabunge wawili kwenye jimbo moja tena dogo tu kama kata kwa huku kwetu,sisi tuna mbunge mmoja kwenye jimbo ambalo ni sawa na Zanzibar yote. Ndio maana Mh Dk Emanuel Makaidi akasema sisi watu wa bara tumekaa kama ngombe tupo tupo tuu hatujielewi yaani kama mahayawani vile. Mchungaji Dk Christopher Mtikila alisema sisi ni kama manyani kwasababu tunaugua ugonjwa hatari wa EPEDOMIA.
Kuhusu huyu Khalifa ulikosea mkuu ,huyu alikua mbunge 2000,na hakumaliza muhula wake.
Tuleteeni na matokeo ya nafasi ya mgombea urais Tanzania
Ndio maana Hamad Rashid kaanza mapema..nimempenda sana Hamad Rashid kwa kusoma alama za nyakati.Pia nadhani huyu Mh.alikuwa na mategemeo ya kupata kazi katika tume itakayosimamia IMPLEMENTATION ya katiba pendekezwa..saaa hamna katiba pendekezwa anagombea u rais baada ya kuunda chama chake ndani ya chama CUF....anyway...
Kwenye kura za maoni 2010 ktk Jimbo la Wawi Mbunge Hamad Rashid aliangushwa kwa kura nyingi sana na huyu huyu aliye shinda leo!
Maalim Seif na akina Duni wakamuita jamaa kuwa ingawaje kashinda amuachie "Mzee Hamad"na jamaa akatii!
Hamad alijua mapema kuwa mwaka huu hawezi bebwa tena ndiyo chanzo cha vurugu zote hizi
Wewe ya CUF yanakuhusu nini? Unakuja na mipasho yako ya hadija kopa hapa? Mwaka huku waongeze majimbo wapunguze, iwevua iwe Jua,kuwe na vita kuwe na amani,UKAWA NDANI YA NYUMBA, TENA ZOTE MBILI ZA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. HUKU SLAA KULE MAALIM SEIF.UKWELI NDIO HUO. KAMA UNA MANENO LETE HARAKA KABLA SIJAONDOKA NYANG'AU MKUBWA WE USIEJITAMBUA.Mwaka huu kazi ipo. Hivi mnajua kwamba ZEK imeshagawa majimbo ya Zanzibar upya? CUF huenda wakarudia upigaji kura ktk baadhi ya majimbo kama vile mji mkongwe, Bububu na Mtoni. Pemba hali huenda ikawa tete zaidi maana majimbo huenda yakapungua by 3!
CCM na ACT wanamsubiri watakaotemwa CHADEMA na CUF, mpaka Leo mmeshindwa kutoa hata ratiba ya mchakato.Tuleteeni na matokeo ya nafasi ya mgombea urais Tanzania
CCM na ACT wanamsubiri watakaotemwa CHADEMA na CUF, mpaka Leo mmeshindwa kutoa hata ratiba ya mchakato.
kama bado sijaelewa hivi!!!?
Ndio kura za maoni ya uchaguzi mkuu!?
pia naomba kujuzwa, eneo la ubunge huko visiwani linakuwa limebeba maeneo ya uwakilishi mangapi!?
Au ni ukubwa uleule!?