Recent content by bochi

  1. B

    Gharama za kutoa gari bandari

    Passo, ist, swift, vitz, terrois kid, cami. Kwa ufupi ni Gar ndogo ambazo speed ikifika 140 kanaanza kutetemeka Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Kila Gar ina matatizo yake, Mfano Prado generation ya tatu ina ka ugonjwa ka kuchomoka matair kwa hiyo siyo ya kuamin sana na kuikimbiza
  3. B

    RAV4 vs Harrier

    Kwa ugumu rav4 sawa, ila kwa kuchangamka barabarani karibu kwenye ulimwengu Wetu wa harrier 240G vvti
  4. B

    Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

    Passo ni Gar nzuri ya kuendea ofisin, ila mwenye chombo azuie VIFUATAVYO. 1. Asiwe mtu wa league barabarani 2. Asiwe mtu wa Safar ndef za mara kwa mara. 3. Anapoishi awe na uhakika wa uwepo wa lami la sivyo ataifunika na turubai nyumban
  5. B

    Sijui huku ni kuachwa au nimeacha!!

    Who told you to trust women in money issue
  6. B

    Hakuna raha zaidi ya karaha kwa Madada Poa!

    Jaman nisaidien waliko huku simiyu
  7. B

    Hakuna raha zaidi ya karaha kwa Madada Poa!

    Wazee Nipo simiyu hapa kama mnajua location yao nielekezen
  8. B

    Hakuna raha zaidi ya karaha kwa Madada Poa!

    Anayejua walipo hapa bariad simiyu aninambie location
  9. B

    Matumizi ya mafuta kwa Toyota Ipsum

    Tool box hiyo [emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom